macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 25,191
- 48,765
🤣 🤣 🤣Nimekosa nini? Ukuu wa Wilaya? Kweli hii nchi tuna matatizo makubwa. Hivi ukuu wa wilaya nao ni cheo cha kulilia? Kweli mtu mwenye akili aache shughuli zake kwa cheo ambacho inabidi uishi kama panya bila kujua kesho inakuja na nini? Samahani sana.Achokwe na nani? Kukosa ww haina maana wote watamchoka na hata wakimchoka ilimradi system wanamfaidi hakuna shida wewe mwananchi endelea kuuza vocha