Chopa Mchopanga awa mkuu wa Wilaya Rorya

Umenena vema mkuu👏
 
Umeongea ukweli mtupu. TISS, Polisi, PCCB zina wasomi wazuri na wazalendo. Leo hii unaenda kuchukua kina Jerry Muro? Nick wa Pili n.k
CCM ni zaidi ya kansa.
Unajuaje kama halo sio TISS
 
Naamini umekosea wa kumjibu post. Vinginevyo kichwa yako inahitaji madawa ya kulevya unaweza kuwa mraibu uko na arosto
 
Kuna watu wazuri mno wapo polisi, tiss, pccb wanaachwa!

Hao wote walioteuliwa wanatokea kwenye hizo taasisi!
Hasa hiyo tiaises, vificho wengine vipenyo!
Huwezi kuwa m/kiti kamati ya ulinzi wilaya/mkoa kama hujui ABc's
 
Bongo movie katika ubora wake....utasikia huyo tiss alikuwa bongo movie kimkakati tu...hongera Chikota

Unadhani uongo, atakuwaje mwenyekiti wa kamati ya ulinzi huko wilayani?
Waandishi wengi wa habari ni watu wa vitengo huko...!!
 
Umeongea ukweli mtupu. TISS, Polisi, PCCB zina wasomi wazuri na wazalendo. Leo hii unaenda kuchukua kina Jerry Muro? Nick wa Pili n.k
CCM ni zaidi ya kansa.
kwani jerry,nick,mchopa mnawajua kiundani jaman!!!

tusipende kudemka,akina nyangasa na mwaipaya hatuwafahamu zaidi ya kuwajua kama waandishi.
 
Hao wote walioteuliwa wanatokea kwenye hizo taasisi!
Hasa hiyo tiaises, vificho wengine vipenyo!
Huwezi kuwa m/kiti kamati ya ulinzi wilaya/mkoa kama hujui ABc's
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hakuna mtu wa TISS hapo Mkuu usijidangaye.Kifupi hatuna Rais anachukulia nchi poa
 
Nampa pole kwani kapelekwa sehemu ngumu Kwake ambayo nilidhani huko angepelekwa 'Mjeda' tu. Kama nawaona vile Wakurya.
Unafiki huo mkuu, hakuna hiyo kitu unasema, yaani kuwa mwepesi ndiyo upigwe panga, NOTHING!.

I'm not mkurya, ila wakulya wanajiheshimu sana vile huwafaham labda umchokoze, ni kama wameru, kumbuka uongozi nao ni tunu kutoka kwa Mungu.
 
Jana nimekula bia nikijua Jay Mo ndo kateuliwa kuamka asubuhi kumbe msanii wa kawaida?
Acha ninywe maziwa mengi niue hang over kabisaaa
 
Mwigizaji Chopa mchopanga kwa jila halisi Jumaa Issa Chikoka amekula shavuView attachment 1823987
Hizi teuzi za hovyo tangu nchi hii ipate uhuru,huyu mama ni mwepesi sana,ni populist tu,Fatma Nyangasa unampa U DC,kwa kigezo kipi?uanamke tu?Albert Msando,huyu alishawahi kuwa na kashfa ya ufuska,unampsje U DC?
Wapo watu wazuri tu kama Mtaka RC wa Dom,ila hawa aliowateua Mama amechemka,Nafasi ya Nyangasa bora angepewa Lady Jay D,
Huyu mama kama anaamini kuteua vijana wawili watatu ndio ufumbuzi wa changamoto za vijana,basi tuna safari ndefu
 
Hao wote walioteuliwa wanatokea kwenye hizo taasisi!
Hasa hiyo tiaises, vificho wengine vipenyo!
Huwezi kuwa m/kiti kamati ya ulinzi wilaya/mkoa kama hujui ABc's
Sidhani kama hilo ni kweli mkuu , sidhani kama limezingatiwa
 
Kweli Mkuu nimedhalau mpaka hapa hatuna Rais.
 
Mna infatuation ya ajabu na katiba mpya..Kenya katiba mpya iliwapa watu kama kina Sonko (reputation yake questionable) ukuu wa mikoa/wilaya (ugavana). Sasa huku Tz katiba mpya italeta maajabu gani?
Katiba ikiwa mpya na iliyotengenezwa kwa kushirikisha wananchi na kuwaweka wanasiasa pembeni ita-improove hali ya uongozi. Sisi tunasisitiza katiba bora inayotokana na wananchi. Pamoja na mapungufu yaliyopo kwenye katiba ya Kenya lakini watu wanakubali kuwa hali haiko kama ilivyokuwa kabla. Na bado wana nafasi ya kufanya marekebisho pale wanapoona walikosea. FYI katiba za nchi nyingi tu zina mapungufu lakini zina afadhali kuliko hii ya kwetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…