Chopa Mchopanga awa mkuu wa Wilaya Rorya

Achokwe na nani? Kukosa ww haina maana wote watamchoka na hata wakimchoka ilimradi system wanamfaidi hakuna shida wewe mwananchi endelea kuuza vocha
🤣 🤣 🤣Nimekosa nini? Ukuu wa Wilaya? Kweli hii nchi tuna matatizo makubwa. Hivi ukuu wa wilaya nao ni cheo cha kulilia? Kweli mtu mwenye akili aache shughuli zake kwa cheo ambacho inabidi uishi kama panya bila kujua kesho inakuja na nini? Samahani sana.
 
Daah ni haki ya kila mtu kuteuliwa lakini hapa sijui kigezo gani kimetumika
Mkuu ebu tueleze tatizo lake kubwa ambalo linamfanya akose sifa? Kuwa muingizaji au?
 
Kuteua viongozi toka tabaka zote za jamii ni muhimu ili isionekane kuwa uongozi unamilikiwa na tabaka fulani ktk jamii, cha muhimu ni kuangalia uwezo na busara na watu wenye hz sifa wapo ktk matabaka yote ya jamii. So far kwa hz teuzi naona kuna mchanganyiko mzuri toka tabaka za jamii, but kuhusu uwezo na busara hii ni juu ya vetting ya kila mtu ndo ukweli uliopo, labda mama ana hizo taarifa.
 
Hakuna Rais hapo nchi ipo ipo tu Mungu atusaidie Watanzania.
Nenda katuongoze wewe, tatizo mlizoea kufokewa na kufichwa madudu mengi huku mkipewa maneno mazuri ya kuwafariji, mkiambiwa hii ni serikali ya wanyonge au hii ni serikali ya maskini hivyo bdio mlivyokuwa mnaona mna rais au siyo.
 
Ni nadharia tu unazosadifu hapa. Ushakiri katiba zote zina mapungufu. Na pia hakuna katiba ya "wananchi" ila kuna katiba ya wenye sauti "elites" yaani hapa utasema kina sarungi na f karume na ngos people/wanaharakati ndio wananchi kisa wao wana sauti kubwa na wamejitwisha jina "wananchi"
 
Elimu elimu elimu. Ni janga letu Tanzania. Hukuelewa nilichoandika. Kaa pembeni.
 
kwani jerry,nick,mchopa mnawajua kiundani jaman!!!

tusipende kudemka,akina nyangasa na mwaipaya hatuwafahamu zaidi ya kuwajua kama waandishi.
Jerry kitengo ....usije ulakurupuka ukomaliza maneno...tuwe makini ....
 
Kuna watu wazuri mno wapo polisi, tiss, pccb wanaachwa!
Hata mtaani wapo wazuri, toshekeni na mishahara yenu, mmezidi ulafi.Mh.SSH usisahau yule dogo mwenye shahada mbili lakini anauza kahawa.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hakuna mtu wa TISS hapo Mkuu usijidangaye.Kifupi hatuna Rais anachukulia nchi poa

Tatizo ni kwamba watu kama Chopa, Jokate, Nikk mmewajulia kwenye sanaa na wengine kama Nyangasa, Gondwe, Mwaipaya mmewajulia kwenye tasnia ya habari upande wa pili hamuwajui vyema!
Hivi hao wengine walioteuliwa unajua background zao ukiacha hawa ambao wanajulikana kutokana na tasnia zao...!?
 
Jokate aliendeza uigizaji au umisi Kisarawe?
Aisee ni sirikali ya aina yake ...

Labda ataendeleza uigizaji huko kwenye UDC

Na hatimaye filamu zetu zitakwenda Holly Wood.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…