[emoji23] [emoji23] [emoji23]Nitachekiki basi haka kauzi kesho mazee. Ngoja nimalizie K-Vant yangu hapa.
Baada ya kuwa msanii Pekee kutoka East Africa kuingia kwenye Nomination za MTVEMA International. Na Baada ya kumfunika Diamond Kule Mombasa. Alikiba ameitwa Tena, Safari hii akiwa na Msanii Mwenye Utukutu mkubwa lakini akiwa kipenzi cha wadada Duniani kote, Mmarekani Chriss Brown. Wakati Chris Brown akithibitisha kwenye clip ya video inayosambaa kwenye mitandao tangu jana kuwa Tamasha hilo litafanyika Katika Jiji la Mombasa Tarehe 8 OCtober 2016.
alikiba aliitwa kumaliza kiu ya waalikwa!. mtu anafanya show masaa 2 awaburudishi watu,then mtu anafanya show dk chache za mwisho na akawafanya watu wasahau kama kuna masaa ma2 kabla yaliwaboaMleta thread kama mchochez hvi.. alimfunika wapi diamond wakat aliingia kama saplies tena dakika ZA mwisho mwisho kwenye paformance.. hahahahaha
kaka dai ndio alisema anaproject na huyu jamaahivi king si alisema anaandaa wimbo na huyu mjamaa,umeishiwa wap hio wimbo??
Unamuongelea Chris Brown yupi? huyu wa SINGELI au?Baada ya kuwa msanii Pekee kutoka East Africa kuingia kwenye Nomination za MTVEMA International. Na Baada ya kumfunika Diamond Kule Mombasa. Alikiba ameitwa Tena, Safari hii akiwa na Msanii Mwenye Utukutu mkubwa lakini akiwa kipenzi cha wadada Duniani kote, Mmarekani Chriss Brown. Wakati Chris Brown akithibitisha kwenye clip ya video inayosambaa kwenye mitandao tangu jana kuwa Tamasha hilo litafanyika Katika Jiji la Mombasa Tarehe 8 OCtober 2016.
Hahahaha nimegundua wewe ni kale katim amaizingalikiba aliitwa kumaliza kiu ya waalikwa!. mtu anafanya show masaa 2 awaburudishi watu,then mtu anafanya show dk chache za mwisho na akawafanya watu wasahau kama kuna masaa ma2 kabla yaliwaboa
acha uhuni KIBAKULIUmepanic? Tulia Dawa iwaingie vzr ili mpone Kichaa cha Mimba.