Chris Brown jukwaa moja na Alikiba Mombasa Kenya

Dumelo

Senior Member
Joined
Apr 23, 2015
Posts
139
Reaction score
235
Baada ya kuwa msanii Pekee kutoka East Africa kuingia kwenye Nomination za MTVEMA International. Na Baada ya kumfunika Diamond Kule Mombasa. Alikiba ameitwa Tena, Safari hii akiwa na Msanii Mwenye Utukutu mkubwa lakini akiwa kipenzi cha wadada Duniani kote, Mmarekani Chriss Brown. Wakati Chris Brown akithibitisha kwenye clip ya video inayosambaa kwenye mitandao tangu jana kuwa Tamasha hilo litafanyika Katika Jiji la Mombasa Tarehe 8 OCtober 2016.
 
Nitachekiki basi haka kauzi kesho mazee. Ngoja nimalizie K-Vant yangu hapa.
 
Baada ya kuwa msanii Pekee kutoka East Africa kuingia kwenye Nomination za MTVEMA International. Na Baada ya kumfunika Diamond Kule Mombasa. Alikiba ameitwa Tena, Safari hii akiwa na Msanii Mwenye Utukutu mkubwa lakini akiwa kipenzi cha wadada Duniani kote, Mmarekani Chriss Brown. Wakati Chris Brown akithibitisha kwenye clip ya video inayosambaa kwenye mitandao tangu jana kuwa Tamasha hilo litafanyika Katika Jiji la Mombasa Tarehe 8 OCtober 2016.

Hongera king kiba.

ila mleta mada unajua kupamba unafanya kwenye magazeti ya udaku nini?
 
Mleta thread kama mchochez hvi.. alimfunika wapi diamond wakat aliingia kama saplies tena dakika ZA mwisho mwisho kwenye paformance.. hahahahaha
 
alikiba aliitwa kumaliza kiu ya waalikwa!. mtu anafanya show masaa 2 awaburudishi watu,then mtu anafanya show dk chache za mwisho na akawafanya watu wasahau kama kuna masaa ma2 kabla yaliwaboa
 
hivi king si alisema anaandaa wimbo na huyu mjamaa,umeishiwa wap hio wimbo??
 
mkuu bizzle 11b shukran kwa kunirekebisha nilijua ni king kumbe domo ndo alisema
 
Baada ya kuwa msanii Pekee kutoka East Africa kuingia kwenye Nomination za MTVEMA International. Na Baada ya kumfunika Diamond Kule Mombasa. Alikiba ameitwa Tena, Safari hii akiwa na Msanii Mwenye Utukutu mkubwa lakini akiwa kipenzi cha wadada Duniani kote, Mmarekani Chriss Brown. Wakati Chris Brown akithibitisha kwenye clip ya video inayosambaa kwenye mitandao tangu jana kuwa Tamasha hilo litafanyika Katika Jiji la Mombasa Tarehe 8 OCtober 2016.
Unamuongelea Chris Brown yupi? huyu wa SINGELI au?
 
Back
Top Bottom