Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
roboti la jf ...upo?Sawa sawa mkuu hata mimi namuelewa
Amefuata nyayo za MJ...si unajua MJ ndio aliwainspireEver? better than MJ?
Ever? better than MJ?
I'm tempted to think so....the boy is light on his feet like he ain't got no bones!
Huyu mwana kanishinda aisee, kila thread ni wa kwanza kwanza ku commentroboti la jf ...upo?
robot la jf......upo?Sawa sawa mkuu hata mimi namuelewa
Interesting...
lakini naona American people hawajamsamehe since ishu ya Rihanna
angekuwa more successful kuliko alivyo now
Daah aisee, wanacheza kama wamesetiwa vile.Even Ayo & Teo ain't got nothing on him bwoy...
Daah aisee, wanacheza kama wamesetiwa vile.
Pamoja na kujifunza lakini hawa ni talented in this caseUmeona eeh...?
Un-fcucking-believable.
The boy is good at his craft.
Pamoja na kujifunza lakini hawa ni talented in this case
Kabisa mkuuNatural talent lazima iwepo....
Ni kama wachoraji tu, hususan wale wanaochora sketch composites za wahalifu.
Natural talent ya uchoraji lazima iwepo na juu yake ndo wanaongezea na ujuzi wa kujifunzia darasani kidogo tu...
Na ndo maana unakuta wanaweza kuichora picha ya mtu bila hata ya kumwona huyo mtu na kweli ikatokea kama huyo mtu alivyo.
Amazing talent.