Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kuna kijana anajiita mtanashati alinishtua sana na thread yake ya kwamba jf imekupa permanent ban ila inaonekana ilikuwa chuki binafsi...
Better than MJJ? You must be joking!
Better than MJ? No way!!!!I'm tempted to think so....the boy is light on his feet like he ain't got no bones!
Ulisahau ku bold maandsh hapoSawa sawa mkuu hata mimi namuelewa
Usiwaze masta hakijaharibika kituUlisahau ku bold maandsh hapo
Gringo why most of the members in jf are alwys scratching your back......??Alikuwa anapiga soga tu...
Noooo...nonnnooo.nnooooo...noooooo...!!!!....MJ..ni ever n forever mkuu..!!Ever? better than MJ?
unahitaji kupimwa akili wewe,hakuna dancer yoyote wa sasa asiyeiga pops za MJ..wa wapi wewe?on my side CB is the best than MJ,
Sema kwasababu kipindi MJ anaanza kudance watu wa zamani walikuwa wana'kajiushamba flani hivi ambacho ndio kimemfanya MJ aonekane ni super, alafu ukicheki enzi hizo hamna ishu za Mitandao kwahiyo vipaji vingi havikuonekana na ndicho kilichompa Michael umaarufu mkubwa.
Alafu vijana wa zamani (wazee wa sasa) walikuwa wabishi sana
Kwani kuna mwanamuziki anayeimba pasipo kufuata nota? Mbona husemi Barnaba anamuiga R.kelly?unahitaji kupimwa akili wewe,hakuna dancer yoyote wa sasa asiyeiga pops za MJ..wa wapi wewe?