Chris Brown might be the best dancer ever....

nakwambia hivi,hakuna mwanamuziki wa r&b atakuja kuintroduce dance move yake kabla hajacheza move ya michael,tazama dancers wote,na michael ndio muasisi wa hizo moves hata ukiwauliza akina usher raymond watakwambia hivyo...katika move mpya atakazoche atajikuta kacheza za MJ saba kwenye kumi zake,kama hutaki acha.
Basi mkuu inaonesha unajua sana hii kada na of course naungana naww hapo kwa MJ, na huyu ndugu yetu unaebishana nae yeye jukwaa lake la kujidai ni kwenye mapenzi so sio rahisi kujua haya, mfano mzuri hiyo clip Chris ameanza kwa kudag alafu move zote za mwisho ni kutoka kwa MJ

Tena kama CB amekuwa inspired sana na Michael Jackson angalia kwenye nyimbo zake nyingi amekuwa akitumia style za MJ, tukiongelea wasanii hakuna na sidhani kama kuna ambae atakuja kufikia level za MJ kwenye dancing, huyu jamaa alikuwa anacheza aina zote ila now days unakuta wasanii wanajua sana aina flani na aina ingine mbovu
 
Here he is dancing to Future's 'Mask off', my fave joint at the moment followed by T-shirt [Migos] and Both [Gucci Mane feat Drake].

I've gotta admit...he kilt it. The boy can bend in all kinds of ways.

What say you?

Hujakosea, nimewahi weka uzi humu! Ila MJ is from another planet. Hapa dumiani kwa sasa CB ndo mfalme.
 
Huh his skills are astonishing mamamaee, they pushed him to jerk n' gave em wot they wanted to see........., CB is one step ahead of Usher.......
CB is a country mile ahead of Usher and everyone BUT MJ.
 
Basi mkuu inaonesha unajua sana hii kada na of course naungana naww hapo kwa MJ, na huyu ndugu yetu unaebishana nae yeye jukwaa lake la kujidai ni kwenye mapenzi so sio rahisi kujua haya, mfano mzuri hiyo clip Chris ameanza kwa kudag alafu move zote za mwisho ni kutoka kwa MJ

Tena kama CB amekuwa inspired sana na Michael Jackson angalia kwenye nyimbo zake nyingi amekuwa akitumia style za MJ, tukiongelea wasanii hakuna na sidhani kama kuna ambae atakuja kufikia level za MJ kwenye dancing, huyu jamaa alikuwa anacheza aina zote ila now days unakuta wasanii wanajua sana aina flani na aina ingine mbovu
MJ halinganishwi jamani, huyu kiumbe tumuache, alikuwa ni Genius wa dancing.
image.jpeg
 
Basi mkuu inaonesha unajua sana hii kada na of course naungana naww hapo kwa MJ, na huyu ndugu yetu unaebishana nae yeye jukwaa lake la kujidai ni kwenye mapenzi so sio rahisi kujua haya, mfano mzuri hiyo clip Chris ameanza kwa kudag alafu move zote za mwisho ni kutoka kwa MJ

Tena kama CB amekuwa inspired sana na Michael Jackson angalia kwenye nyimbo zake nyingi amekuwa akitumia style za MJ, tukiongelea wasanii hakuna na sidhani kama kuna ambae atakuja kufikia level za MJ kwenye dancing, huyu jamaa alikuwa anacheza aina zote ila now days unakuta wasanii wanajua sana aina flani na aina ingine mbovu
True,
 
Back
Top Bottom