Chris Brown might be the best dancer ever....

kuna kijana anajiita mtanashati alinishtua sana na thread yake ya kwamba jf imekupa permanent ban ila inaonekana ilikuwa chuki binafsi...

Alikuwa anapiga soga tu...
 
Swang - Rae Sremmurd on repeat kila dakika kila saa, naukubali sana.
 
Bongo kuna jamaa walikuwa wakidance kama hivyo sarakasi nyingi waliulizwa mna dansi au piga ni masarakasi?
 
Huh his skills are astonishing mamamaee, they pushed him to jerk n' gave em wot they wanted to see........., CB is one step ahead of Usher.......
 
MICHAEL JACKSON....alishadance kwa miaka 1000 zaidi...
dencers wote wanakanyaga alimokanyaka kitambo....
R.I.P MICHAEL....[emoji111] [emoji111]
 
on my side CB is the best than MJ,
Sema kwasababu kipindi MJ anaanza kudance watu wa zamani walikuwa wana'kajiushamba flani hivi ambacho ndio kimemfanya MJ aonekane ni super, alafu ukicheki enzi hizo hamna ishu za Mitandao kwahiyo vipaji vingi havikuonekana na ndicho kilichompa Michael umaarufu mkubwa.
Alafu vijana wa zamani (wazee wa sasa) walikuwa wabishi sana
 
unahitaji kupimwa akili wewe,hakuna dancer yoyote wa sasa asiyeiga pops za MJ..wa wapi wewe?
 
unahitaji kupimwa akili wewe,hakuna dancer yoyote wa sasa asiyeiga pops za MJ..wa wapi wewe?
Kwani kuna mwanamuziki anayeimba pasipo kufuata nota? Mbona husemi Barnaba anamuiga R.kelly?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…