Scandal ipi hiyo?+ scandal yake na Usher Raymond
๐๐๐๐ Sasa kakuzidi kila kitu aalfu bado unanguvu ya kumkosoa dah sio mchezo. Kiufupi hivyo ndivyo anavyotaka mumuone na ndivyo anavyotaka mziki wake uende hajazidiwa hivyo ushauri wako na hisia zako hazina athari kwakeSio yule Chris brown wa kipindi ile na zile hit songs zake, kama kiss kiss, turn up the music, transform ya, international love aloshirikishwa na pitbull, She ain't you, no air, loyal, na hit song yake national ya mwisho aloshirikishwa Na lil dicky inaitwa freaky Friday..
Sahiv ana ma-tattoo mengi mwilini hadi kero, minywele rangi rangi nyingi, uso wake hauna nuru.. kama zamani.. lyrics zake za nyimbo ziko ovyo kama wasanii wa Arusha.. ambao hawajatoka kimziki, nahisi kinachompa views sahivi kule YouTube ni jina ila sio mziki mzuri
Ipi hiyo mkuu+ scandal yake na Usher Raymond
Wivu mbaya sanaKama Diamond tu.
Au kinachompa views ni kwa kuwa zamani alikua anamla Rihanna๐Sio yule Chris brown wa kipindi ile na zile hit songs zake, kama kiss kiss, turn up the music, transform ya, international love aloshirikishwa na pitbull, She ain't you, no air, loyal, na hit song yake national ya mwisho aloshirikishwa Na lil dicky inaitwa freaky Friday..
Sahiv ana ma-tattoo mengi mwilini hadi kero, minywele rangi rangi nyingi, uso wake hauna nuru.. kama zamani.. lyrics zake za nyimbo ziko ovyo kama wasanii wa Arusha.. ambao hawajatoka kimziki, nahisi kinachompa views sahivi kule YouTube ni jina ila sio mziki mzuri
Amemshambulia mwilini Usher RaymondIpi hiyo mkuu
To me Chris brown is stil a better artist.
I thnk kuna umuhim wa kuangalia msanii mostly kwenye tungo zake rather than muonekano kwa sababu mambi yanabadilika and voices znabadilika pia
Breezy wa "turn up the music" alikua bado mtoto , wa sasa hv kakua zaidi.
UKitaka kuenjoy hivi vitu, download the whole album na uiskilize sio kuskiza ngoma moja tu.
Subr kwanza nkaskilize Heat ya CB na Gunna