Chris Brown naona kama amekuwa mwanamuziki wa ovyo siku hizi

Chris Brown naona kama amekuwa mwanamuziki wa ovyo siku hizi

To me Chris brown is stil a better artist.
I thnk kuna umuhim wa kuangalia msanii mostly kwenye tungo zake rather than muonekano kwa sababu mambi yanabadilika and voices znabadilika pia
Breezy wa "turn up the music" alikua bado mtoto , wa sasa hv kakua zaidi.
UKitaka kuenjoy hivi vitu, download the whole album na uiskilize sio kuskiza ngoma moja tu.
Subr kwanza nkaskilize Heat ya CB na Gunna
Under influence sijui hata kama ameisikiliza hii pia..
 
Under influence sijui hata kama ameisikiliza hii pia..
Ewaaa...
Kijana hajaskiliza album, anaskiza kitrack kimoja kimoja af anakuja na nonsense.
Anheskiliza hata album 3 tu zote akiwa ametulia tuli asingesema haya maneno ya kienyeji
 
Back
Top Bottom