DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 23,382
- 29,639
Ile message kwenye Undecided ni ya kishua sana. Kwa sisi ma dokta wa loveMitatuu ndio slogan ya mjini, japo siifagilii
Ila ile undecided sijawahi kuielewa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ile message kwenye Undecided ni ya kishua sana. Kwa sisi ma dokta wa loveMitatuu ndio slogan ya mjini, japo siifagilii
Ila ile undecided sijawahi kuielewa
Damn I want my baby back
Its so cold without her
Cold withou her she has gone
Now I'm alone no one to hold down
cause she was the only one
And I know I was dead wrong
Huwa ananikosha sana akiwa anaipandia sauti yake na sauti ya pili hivi (sijui kama naeleweka) Hebu utafute wimbo unaoitwa so cold utaelewa nnachoandika hapa.
Habari wapenzi wa muziki mzuri
Aisee anaitwa Chris Brown ni msanii namkubali sana tena. Jamaa alizaliwa katika mji unaitwa Virginia miaka ya 80 mwishoni.Alianza carrier ya muziki tangu akiwa junk junk tu
Ana vipaji vingi,ana rap,anaimba hiphop, ni actor, na zaidi anajua kudance hatari
pia ana lebo yake ya mavazi inaitwa black pyramid.
Ashawahi date na warembo wakali ila nadhani kwa wengi watakuwa wanakumbuka ile na Rihanna na ile ya Karruich Tran
Sijawahi kuzichoka album zake zote tangu kaanza kuzitoa aisee kuanzia ile ya 2005 inayoitwa C.H.R.I.S B.R.O.W.N iliyokuwa na vibao vikali kama say goodbye and so on
Akaja kutoa album nyingne kama :
√ FORTUNE
√ FORTUNE(delux edition)
√ GRAFFITI (hii ndiyo album nayoipenda zaidi)
√ FAN OF FAN(ambayo alitoa na Tyga)
√ FAME
√ FAME DELUX EDITION
√ X
√ LOYALTY
√ HEARTBREAK IN FULL MOON
√ INDIGO (Ambayo ni mpya kwa sasa)
pia kuna single nyingi alizitoa
Ngoma zake top nazozielewa ni
Kiss kiss (ft T.pain)
Undecided
Sing like me
Your heart
only for me
yeah×3
fallen angel
Deuces
i wanna be
forever
Questions
party n.k
In short ana sauti ya kipekee sana .video zake hazichoshi kuzitizama..
Karibu kushare ni album unaikubali au nyimbo zipi za huyu bamdogo unazielewa kinyama yaani
N:B Kwa sasa niko busy na hii INDIGO ni hatari..'bamdogo huyu anajua sana'
Hey fellas, can someone explore or explain as why Breezy has interests in tech issues, stuff like parallel universe as portrayed in Instagram posts.
From his collabo with Justin beiber in NEXT TO YOU its about the reckoning day, DONT WAKE ME UP it's stuff of kinda telepathy or TEMPO levitating car and a hoverboard, FINE CHINA there was a laser unlocker, coming to DON'T JUDGE ME it's all about some beliefs in pure science technology and sophisticated future world, the man looks a pure liberal.
I don know why people don't talk about him for these interests in him. Make me know something plz!
Kwa kweliAnajua mziki sana jamaa hajawah kuwa na nyimbo mbaya
Breezy ni maishaDamn I want my baby back
Its so cold without her
Cold withou her she has gone
Now I'm alone no one to hold down
cause she was the only one
And I know I was dead wrong
Huwa ananikosha sana akiwa anaipandia sauti yake na sauti ya pili hivi (sijui kama naeleweka) Hebu utafute wimbo unaoitwa so cold utaelewa nnachoandika hapa.
Hata video yake iko poa sana. Pia aliyetengeneza beat alifanya kazi yake haswa.Lile goma lake "should have kissed you" sichokag kulisikiliza, saut fulan very amazing