Chris Brown special thread

Chris Brown special thread

Indigo Album naielewa sana

√No guidance
√Indigo
√Troubled water
√Heat

Huyu jamaa anajua balaa
 
Damn I want my baby back
Its so cold without her
Cold withou her she has gone
Now I'm alone no one to hold down
cause she was the only one
And I know I was dead wrong
Huwa ananikosha sana akiwa anaipandia sauti yake na sauti ya pili hivi (sijui kama naeleweka) Hebu utafute wimbo unaoitwa so cold utaelewa nnachoandika hapa.
 
wh bhana eh ni bonge la goma ukiwa na stress
 
Fortune ndo album bora ya CB kwa upande wangu toka 2012 hadi Leo nikisikiliza siwezi Ku rusha nyimbo yoyote mbele izi Indigo, Heartbreak on a Full Moon, ninazo ila sijapata muda wa kusikiliza vizuri
 
Habari wapenzi wa muziki mzuri

Aisee anaitwa Chris Brown ni msanii namkubali sana tena. Jamaa alizaliwa katika mji unaitwa Virginia miaka ya 80 mwishoni.Alianza carrier ya muziki tangu akiwa junk junk tu

Ana vipaji vingi,ana rap,anaimba hiphop, ni actor, na zaidi anajua kudance hatari
pia ana lebo yake ya mavazi inaitwa black pyramid.

Ashawahi date na warembo wakali ila nadhani kwa wengi watakuwa wanakumbuka ile na Rihanna na ile ya Karruich Tran

Sijawahi kuzichoka album zake zote tangu kaanza kuzitoa aisee kuanzia ile ya 2005 inayoitwa C.H.R.I.S B.R.O.W.N iliyokuwa na vibao vikali kama say goodbye and so on

Akaja kutoa album nyingne kama :
√ FORTUNE
√ FORTUNE(delux edition)
√ GRAFFITI (hii ndiyo album nayoipenda zaidi)
√ FAN OF FAN(ambayo alitoa na Tyga)
√ FAME
√ FAME DELUX EDITION
√ X
√ LOYALTY
√ HEARTBREAK IN FULL MOON
√ INDIGO (Ambayo ni mpya kwa sasa)
pia kuna single nyingi alizitoa

Ngoma zake top nazozielewa ni

Kiss kiss (ft T.pain)
Undecided
Sing like me
Your heart
only for me
yeah×3
fallen angel
Deuces
i wanna be
forever
Questions
party n.k

In short ana sauti ya kipekee sana .video zake hazichoshi kuzitizama..

Karibu kushare ni album unaikubali au nyimbo zipi za huyu bamdogo unazielewa kinyama yaani

N:B Kwa sasa niko busy na hii INDIGO ni hatari..'bamdogo huyu anajua sana'
Hey fellas, can someone explore or explain as why Breezy has interests in tech issues, stuff like parallel universe as portrayed in Instagram posts.

From his collabo with Justin beiber in NEXT TO YOU its about the reckoning day, DONT WAKE ME UP it's stuff of kinda telepathy or TEMPO levitating car and a hoverboard, FINE CHINA there was a laser unlocker, coming to DON'T JUDGE ME it's all about some beliefs in pure science technology and sophisticated future world, the man looks a pure liberal.

I don know why people don't talk about him for these interests in him. Make me know something plz!
 
Kuna video nilikuwa naangalia ila sijui maana zao.
This is from "Don't judge me by Chris brown"

As the chorus begins for the first time, Brown is seen catching a ride from an army truck. He eventually arrives at an army base to prepare for a "suicide mission", which involves him riding a spacecraft into outer space to save the world from an alien ship invading Earth. A news reporter at the base (Brown's girlfriend) runs to him with the question, "People are saying this is a suicide mission, why are you doing this?" Brown replies, "I'm doing a service for my country and my planet. If that means saving the people I love and I care about, then that's what I'll do."[30] As the spacecraft takes off, tears run down Brown's face before the spacecraft crashes into the alien ship, killing him. Brown and his girlfriend are then shown, hugging on the couch.
 
Damn I want my baby back
Its so cold without her
Cold withou her she has gone
Now I'm alone no one to hold down
cause she was the only one
And I know I was dead wrong
Huwa ananikosha sana akiwa anaipandia sauti yake na sauti ya pili hivi (sijui kama naeleweka) Hebu utafute wimbo unaoitwa so cold utaelewa nnachoandika hapa.
Breezy ni maisha
 
Lile goma lake "should have kissed you" sichokag kulisikiliza, saut fulan very amazing
Hata video yake iko poa sana. Pia aliyetengeneza beat alifanya kazi yake haswa.
Vaa headphone za kueleweka halafu sikiliza jinsi kila chombo kilivyopangwa na kupangika.
 
Habari wapenzi wa muziki mzuri

Aisee anaitwa Chris Brown ni msanii namkubali sana tena. Jamaa alizaliwa katika mji unaitwa Virginia miaka ya 80 mwishoni.Alianza carrier ya muziki tangu akiwa junk junk tu

Ana vipaji vingi,ana rap,anaimba hiphop, ni actor, na zaidi anajua kudance hatari
pia ana lebo yake ya mavazi inaitwa black pyramid.

Ashawahi date na warembo wakali ila nadhani kwa wengi watakuwa wanakumbuka ile na Rihanna na ile ya Karruich Tran

Sijawahi kuzichoka album zake zote tangu kaanza kuzitoa aisee kuanzia ile ya 2005 inayoitwa C.H.R.I.S B.R.O.W.N iliyokuwa na vibao vikali kama say goodbye and so on

Akaja kutoa album nyingne kama :
√ FORTUNE
√ FORTUNE(delux edition)
√ GRAFFITI (hii ndiyo album nayoipenda zaidi)
√ FAN OF FAN(ambayo alitoa na Tyga)
√ FAME
√ FAME DELUX EDITION
√ X
√ LOYALTY
√ HEARTBREAK IN FULL MOON
√ INDIGO (Ambayo ni mpya kwa sasa)
pia kuna single nyingi alizitoa

Ngoma zake top nazozielewa ni

Kiss kiss (ft T.pain)
Undecided
Sing like me
Your heart
only for me
yeah×3
fallen angel
Deuces
i wanna be
forever
Questions
party n.k

In short ana sauti ya kipekee sana .video zake hazichoshi kuzitizama..

Karibu kushare ni album unaikubali au nyimbo zipi za huyu bamdogo unazielewa kinyama yaani

N:B Kwa sasa niko busy na hii INDIGO ni hatari..'bamdogo huyu anajua sana'

CB for life! Namkubali pia since day one.
 
Nime sikiliza Albums, Eps na Mixtapes zake zote he is my favorite musician of all time.
 
Back
Top Bottom