Chris Lukosi
JF-Expert Member
- Aug 23, 2012
- 4,583
- 2,944
Kwa kweli Msigwa alitutia aibu sana wahehe,Hotuba ya Msigwa ililiaibisha taifa, Watu hawakutegemea Bunge kutumika kama jukwaa la UDAKU.
Katika hali kama hivyo reactions za namna mbalimbali zinavumulika.
Hata Mbowe mwenyewe akisikitika sana na hotuba ya Msigwa...
Hotuba ya Msigwa ililiaibisha taifa, Watu hawakutegemea Bunge kutumika kama jukwaa la UDAKU.
Katika hali kama hivyo reactions za namna mbalimbali zinavumulika.
Hata Mbowe mwenyewe akisikitika sana na hotuba ya Msigwa...
If a politician tells u that ur days r numbered, the statement is purely political. But if a bandit tells u so, be careful.
Let's set the record straight !!!
Hotuba ya Msigwa ilímlipua jangili na imepelekea kupitishwa sheria juu ya ujangili
Kwanini Spika hajamuomba ushahidi wa dentist ?!
Kazi ya upinzani ni kulipua mabomu,kazi ya tawala ni kutawala kwa mujibu wa sheria kwani wana dola
Hotuba zote zitatetea maslahi ya nchi,
I stand to emphasize the truth and the truth is...Dentist ni jangili!
Now let's repeat this zemakopo...
Hotuba ilikuwa exposeeee kwa Jangili numero uno Tanzania hasafishiki hata kwa jiki...Kwa kweli Msigwa alitutia aibu sana wahehe,
Wahehe huwa hatuimbi mashairi ya mipasho
Tatizo ni mshauri mkuu wa Msigwa badala ya kumpa data anampatia mistari ya kuishusha bungeniMbowe ameshaomba radhi kwa hotuba chafu na mbovu ya Msigwa.
Mnyika na Zitto wanapaswa kuwa wanazipitia hizi hotuba kabla hazijasomwa ili kulinda heshima ya chama...
Kwa kweli Msigwa alitutia aibu sana wahehe,
Wahehe huwa hatuimbi mashairi ya mipasho
Unadhani ni political numbers au life numbers? Mstafute umaarufu kwa mambo yasiyokuwepo. Over all kama hajui, hatumchagui tena Iringa kwa sababu hatuna tena sababu ya kumchagua.
Dah ,
Kaazi kweli kweli,
Muraa,Mkuu Sikonge umetoa tahadhari muhimu sana kwa ajili ya usalama wa Mchungaji Msigwa pamoja na wazalendo wengine wa aina yake, pamoja na kuwa vijana wa lumumba project wanajitahidi kupotosha.
Ikumbukwe kuwa Chris Lukosi alipata kuwa askari polisi wa jeshi la policcm, sasa inapotokea anamtishia kamanda Msigwa kwamba siku zake zinahesabika hilo si suala la lkupuuzia hata kidogo, na kwa kuzingatia kuwa mara kadhaa askari polisi, askari wa JWTZ/JKT na askari wa magereza wamekuwa wakikamatwa na wengine kutuhumiwa kujihusisha na matukio ya ujambazi, ujangili na unyang'anyi matukio ambayo yamekuwa yakiendana na mauaji ya watu.
Kwahiyo Chris Lukosi anatakiwa ajitokeze hadharani atueleze ni kwanini amefikia hatua ya kumtishia maisha Mchungaji msigwa hasa baada ya kumtaja katibu mkuu wa ccm kuwa ni jangili wa tembo wetu? je ni kusema kinana ndiye kamtuma amuue Msigwa ili kupoteza ushahidi alionao dhidi ya biashara ya ujangili inayofanywa na katibu mkuu huyo wa ccm?
Tusiyachukulie haya mambo kirahsi rahsi halafu ikatokea Mchungaji Msigwa amepatwa namaswahibu ndipo tukaanza kujiuliza kulikoni. Ni muhimu sana kuchukua tahadhari zote za kuhakikisha kwamba watu wote wanaosimama mstari wa mbele katika kupigania maslahi ya nchi hii wanalindwa na kuhakikishiwa uslama wa maisha yao.
Kwa kweli Msigwa alitutia aibu sana wahehe,
Wahehe huwa hatuimbi mashairi ya mipasho
Tatizo ni mshauri mkuu wa Msigwa badala ya kumpa data anampatia mistari ya kuishusha bungeni
Si ndogo. Sikonge ndiye aliyemnominate na kulobby Slaa kugombea Urais kwa ticket ya CDM, na ikawa hivyo.
Mkuu Sikonge umetoa tahadhari muhimu sana kwa ajili ya usalama wa Mchungaji Msigwa pamoja na wazalendo wengine wa aina yake, pamoja na kuwa vijana wa lumumba project wanajitahidi kupotosha.
Ikumbukwe kuwa Chris Lukosi alipata kuwa askari polisi wa jeshi la policcm, sasa inapotokea anamtishia kamanda Msigwa kwamba siku zake zinahesabika hilo si suala la lkupuuzia hata kidogo, na kwa kuzingatia kuwa mara kadhaa askari polisi, askari wa JWTZ/JKT na askari wa magereza wamekuwa wakikamatwa na wengine kutuhumiwa kujihusisha na matukio ya ujambazi, ujangili na unyang'anyi matukio ambayo yamekuwa yakiendana na mauaji ya watu.
Kwahiyo Chris Lukosi anatakiwa ajitokeze hadharani atueleze ni kwanini amefikia hatua ya kumtishia maisha Mchungaji msigwa hasa baada ya kumtaja katibu mkuu wa ccm kuwa ni jangili wa tembo wetu? je ni kusema kinana ndiye kamtuma amuue Msigwa ili kupoteza ushahidi alionao dhidi ya biashara ya ujangili inayofanywa na katibu mkuu huyo wa ccm?
Tusiyachukulie haya mambo kirahsi rahsi halafu ikatokea Mchungaji Msigwa amepatwa namaswahibu ndipo tukaanza kujiuliza kulikoni. Ni muhimu sana kuchukua tahadhari zote za kuhakikisha kwamba watu wote wanaosimama mstari wa mbele katika kupigania maslahi ya nchi hii wanalindwa na kuhakikishiwa uslama wa maisha yao.
Ndugu Chris Lukosi naona unajitahidi sana kuwa-promote makamanda wa CDM,big up sana.Nimeingia ofisi moja hapa mjini nimekutana na hii picha kwenye Laptops za wafanyakazi wa ofisi hii,