Chris Lukosi amtishia maisha Mchungaji Msigwa

Hotuba ya Msigwa ililiaibisha taifa, Watu hawakutegemea Bunge kutumika kama jukwaa la UDAKU.

Katika hali kama hivyo reactions za namna mbalimbali zinavumulika.

Hata Mbowe mwenyewe akisikitika sana na hotuba ya Msigwa...
Kwa kweli Msigwa alitutia aibu sana wahehe,
Wahehe huwa hatuimbi mashairi ya mipasho
 
Let's set the record straight !!!

Hotuba ya Msigwa ilímlipua jangili na imepelekea kupitishwa sheria juu ya ujangili

Kwanini Spika hajamuomba ushahidi wa dentist ?!

Kazi ya upinzani ni kulipua mabomu,kazi ya tawala ni kutawala kwa mujibu wa sheria kwani wana dola

Hotuba zote zitatetea maslahi ya nchi,

I stand to emphasize the truth and the truth is...Dentist ni jangili!

Now let's repeat this zemakopo...
 
Mbowe ameshaomba radhi kwa hotuba chafu na mbovu ya Msigwa.

Mnyika na Zitto wanapaswa kuwa wanazipitia hizi hotuba kabla hazijasomwa ili kulinda heshima ya chama...
 
Kwa kweli Msigwa alitutia aibu sana wahehe,
Wahehe huwa hatuimbi mashairi ya mipasho
Hotuba ilikuwa exposeeee kwa Jangili numero uno Tanzania hasafishiki hata kwa jiki...

Tupo Iringa na watu bila chenga wanaoda kinanaaa bariiidiiii ( aka tusker bariiiidi)

How does that grab you ?!
 
Mbowe ameshaomba radhi kwa hotuba chafu na mbovu ya Msigwa.

Mnyika na Zitto wanapaswa kuwa wanazipitia hizi hotuba kabla hazijasomwa ili kulinda heshima ya chama...
Tatizo ni mshauri mkuu wa Msigwa badala ya kumpa data anampatia mistari ya kuishusha bungeni
Mwanza+sugu+Msigwa.jpg
 
Unadhani ni political numbers au life numbers? Mstafute umaarufu kwa mambo yasiyokuwepo. Over all kama hajui, hatumchagui tena Iringa kwa sababu hatuna tena sababu ya kumchagua.

Sema simchagui hatumchagui na nani umekuja na familia yako JF?

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Mkuu Sikonge umetoa tahadhari muhimu sana kwa ajili ya usalama wa Mchungaji Msigwa pamoja na wazalendo wengine wa aina yake, pamoja na kuwa vijana wa lumumba project wanajitahidi kupotosha.

Ikumbukwe kuwa Chris Lukosi alipata kuwa askari polisi wa jeshi la policcm, sasa inapotokea anamtishia kamanda Msigwa kwamba siku zake zinahesabika hilo si suala la lkupuuzia hata kidogo, na kwa kuzingatia kuwa mara kadhaa askari polisi, askari wa JWTZ/JKT na askari wa magereza wamekuwa wakikamatwa na wengine kutuhumiwa kujihusisha na matukio ya ujambazi, ujangili na unyang'anyi matukio ambayo yamekuwa yakiendana na mauaji ya watu.

Kwahiyo Chris Lukosi anatakiwa ajitokeze hadharani atueleze ni kwanini amefikia hatua ya kumtishia maisha Mchungaji msigwa hasa baada ya kumtaja katibu mkuu wa ccm kuwa ni jangili wa tembo wetu? je ni kusema kinana ndiye kamtuma amuue Msigwa ili kupoteza ushahidi alionao dhidi ya biashara ya ujangili inayofanywa na katibu mkuu huyo wa ccm?

Tusiyachukulie haya mambo kirahsi rahsi halafu ikatokea Mchungaji Msigwa amepatwa namaswahibu ndipo tukaanza kujiuliza kulikoni. Ni muhimu sana kuchukua tahadhari zote za kuhakikisha kwamba watu wote wanaosimama mstari wa mbele katika kupigania maslahi ya nchi hii wanalindwa na kuhakikishiwa uslama wa maisha yao.
 
Last edited by a moderator:

Muraa,
Hebu acha vituko mkuu
 
Tatizo ni mshauri mkuu wa Msigwa badala ya kumpa data anampatia mistari ya kuishusha bungeni
Mwanza+sugu+Msigwa.jpg

Ndugu Chris Lukosi naona unajitahidi sana kuwa-promote makamanda wa CDM,big up sana.Nimeingia ofisi moja hapa mjini nimekutana na hii picha kwenye Laptops za wafanyakazi wa ofisi hii,
 
Last edited by a moderator:
naomba nikuulize tena ndugu yangu CHRISS LUKOSI .unataka kumuua Mh.Msigwa? au ulimaanisha nini?
 
..ni mgonjwa huyu jamaa,msidharau maneno yake,wako wawili kichwani...
 
Ungelijua kuwa Sikonge ana kadi ya CCM hadi leo ingawa hajailipia tangu alazimishwe kuinunua akiwa JKT, wala usingeliamini. Kutoka hapo sijawa mwanachama wa chama chochote kile hadi leo hii. Sasa Mwana CCM na kum-nominate Dr. Slaa wapi na wapi. Ila ukisema Ku-lobby humu JF ni kweli nilifanya. Unajua unaweza ku-lobby kitu ingawa wewe mwenyewe ukawa hata mpinzani wa hicho kitu. Ila tu inategemea kama unalipwa au unaona huko mbele kutakuwa na faida kwako.

Kama vipi, karibu sana hapa Sikonge uje upate nyama ya pori (nina kibali) kwa Vinana bariiiiiiiiiidi 🙂
Si ndogo. Sikonge ndiye aliyemnominate na kulobby Slaa kugombea Urais kwa ticket ya CDM, na ikawa hivyo.
 
Mkuu Mwita,
Huyu jamaa kama si leo basi hata kesho, ana kesi ya kujibu. Huwezi kuandika maneno mazito kiasi hiki na ukaendelea kupeta. Nina imani kuwa Mchungaji ataendelea kuwa mzima kwani vinginevyo, itabidi UK wajulishwe vitisho na utekelezaji wa vitisho vya Lukosi kwenda kwa Msigwa.

Tulishasikia "Liwalo na liwe", Ulimboka wakamtenda.

Back
Top Bottom