Maisha ya LDC lazima iwe cheap tu maana pesa yenu ni ya madafu. Lakini hata bidhaa zikiuzwa bei nafuu hio haimaanishi kuwa nyie mnaishi maisha mazuri. Bei inaweza kuwa nafuu maana hakuna demand ya kutosha au pengine kuna government subsidy na kadhalika.Ujumbe mwingine kutoka kwa mkenya mwenzako View attachment 1284595
Reggae( roots,riddimz,dancehall,raggatone)
The best genre ever.
kwa upande wa reggae kenya mpo vzuri kuhost mastaa mbalimbali wa reggae
tz kdogo ka reggae haileweki iv ila n mziki mmoja bomba sana
Cheap is expensive. Hebu angalia vile watanzania wenzenu wanakimbizwa, kupigwa, na kuawa huko South Africa. They buy food cheap yet they are still suffering from hunger, joblessness and the kawaida poverty related issues sawa na Tz where food is percieved to be cheap but no infrastructural developments and joblessness and not to forget there are no industries.ulishaishi South Africa? Kule bei za bidhaa ni cheap kama Tanzania, wakati uchumi wa Kenya kwa SA ni kama takataka
Ninyi pamoja na serikali yenu kutoa subsidy kwenye bidhaa zenu lakini bado maisha kwenu magumu mpaka mnakufa njaa lol
Kenya releases subsidized maize to ease shortage
Millers have so far received 400,000 bags and more is on the way.www.world-grain.com
Umetisha mkuu.Acha tu kuja kuna wengine wame acknowledge kwenye miziki yao,for the people who knows the power of writing lycris,wakati wa uandishi unaweza kukata mistari mingi sana, if the artist prefer to leave the certain lines to his/her particular song should appreciate and understand the vibrant energy behind the song.Mfano wa miziki au maartist waliyoiongelea Tanzania straight ni
J Cole mziki unaitwa Boblo Boat
kwenye dakika ya (4:16)
SWAY IN THE MORNING.Kwa wanamjua Sway toka miaka ya tisini anaheshimika sana presenter mkongwe kbs nchini Marekani kumbe asili yake ni Tanzania
kwenye dakika ya (27:20)
Mfahamu pia Stogie T Msouth ambaye amezaliwa Tanzania Rapper mkali sana mwanzoni alikuwa akijulikana kama Tumi na band yao ya Tumi and The Volume.Remarkable freestyle kuanzia dakika ya (21:30)
Bado kuna mkongwe Black Thought from Legendary Roots Crew mziki unaitwa
Cojiba
kwenye dakika ya (1:21)
Roots-Zakwe feat Stogie T and Jay Claude
kwny dk ya (1:19)
And the list goes down..... ππππ msishangae mimi ni big fan wa Hip Hop period.
LOL Nitajie kiwanda kimoja tu ninyi mnacho sisi hatunaCheap is expensive. Hebu angalia vile watanzania wenzenu wanakimbizwa, kupigwa, na kuawa huko South Africa. They buy food cheap yet they are still suffering from hunger, joblessness and the kawaida poverty related issues sawa na Tz where food is percieved to be cheap but no infrastructural developments and joblessness and not to forget there are no industries.
Kwani Wabongo hawasikilizi miziki ya Kenya?Hawa wanamuziki wametinga Kenya ili kutumbuiza mafans wao. Wanaodhani Wakenya wanashabikia muziki wa bongo pekee poleni sana. Sisi tunasikiza muziki toka Nigeria hadi Jamaica. Pia hii inaonyesha kuwa Kenya inaheshimika na wasanii wa kutoka nje..
Wabongo kwa kawaida hampendi kusikiliza mziki ya nchi zingine. Isipokuwa wewe.Kwani Wabongo hawasikilizi miziki ya Kenya?
Mbona sasahv nasikiliza wimbo wenye mahadhi ya kikamba na yale marimba yao?
Ni watu gani wanaosikiliza miziki ya kwao tu?
Naona umekuwa msemaji wetu πππWabongo kwa kawaida hampendi kusikiliza mziki ya nchi zingine. Isipokuwa wewe.
Duuuh ndio nafahamu hili LeoWabongo kwa kawaida hampendi kusikiliza mziki ya nchi zingine. Isipokuwa wewe.
Pamoja bro!!!!Umetisha mkuu.