Jamaa tangu nimfahamu YEYE NI KUWAPONDA TU WANAUME linapokuja suala la mahusiano.
Na kwa hili amefanikiwa sana kujipatia UJIKO kwa kina Mama
Anyway ninachoamini ni kwamba jamaa mada zake zote anazozitoa anazitoa kwa muamvuli wa taaluma ya psychology lakini kiuhalisia MENGI NI MAONI YAKE BASING ON HIS PERSONAL INTEREST, NOT PROFESSIONAL.