Samahani keakutoka nje ya mada yako
Ila
NI KWANINI KILA UZI UKIANZISHWA NA UKIPITIA COMMENT ZA WATU UTAKUTA WENGI HUISHIA KUTUKANA,
Kwa mfano wewe umeleta mada ila kuna mtu ata comment WATANZANIA WENGI NI MABUMUNDA KWELI, sasa kwani hatuwezi kuwa positive, kwani ni lazima mtu acomment , yaani kuna watu wanakera humu kwakujifanya wao wana akili nyingi , daah