Chrispin wa JF...every womans dream hubby!!

Siku ya wanawake duniani lazima ienziwe. Jana ulirudi home saa ngapi hommie?

saaa 12..mahudhurio jana chawote ilikuwa H. Sijui leo najielezaje. Hommie nina shaka jama usiku ulikuwa mrefu sana
 
Acha uchoyo wewe sasa unataka akale wapi kwa Eliza?
Umeonae? Afu Eliza akitupikia chakula kitamu cha usiku wanalalamikaga hawa..........

Tabernakulo na kwenyewe duh...heri wenye moyo safi....
Maana wataurithi ufalme wa mbingu.

saaa 12..mahudhurio jana chawote ilikuwa H. Sijui leo najielezaje. Hommie nina shaka jama usiku ulikuwa mrefu sana
Jana niliwahi home. Sikujua kumbe ukiwahi home inakuwa karaha kwa watoto. LOLZ!
 
You don't need a man that drives an X6, M3 or Hummer to feel special!!
 
Attachments

  • image001[1].JPG
    67.9 KB · Views: 28
Today, 10:44 AM This message has been deleted by Charity.

😱😱😱!!!!!!!!!???????????
 
We unataka kukamata newz, Matesha anataka kuangalia katuni. Wapi na wapi? LOLZ!

hakika hii asubuhi ni njema.....no wonder nimevaa nguo yangu ya church!!!
 
huyu charity ALIANDIKA NINI?😀😀
I just wanted to say the following ;

Mpenzi wangu Chris mimi nakupendaaaa,unajua ndo mana wanitesaaaaaa.
sio siri haniiiiiii wanipa preshaaaaaaaaaaaaaaa,preshaaaaa,preshaaaaaa!
Vipi kuhusu elizaaaaaaaaa ,mbona mila zimezidiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!
Hata yule Roziiiiiiiiiii ,Tafadhali acha milaaaaaaaaaa.
 
LOL sikujua kama una kipaji hivi cha kuimba!
 
hakika hii asubuhi ni njema.....no wonder nimevaa nguo yangu ya church!!!

ndo zile t shirt za njano? mlikuwa mnazuia maendeleo B eeh? please nambie hukuwa mmoja wao!
 
ndo zile t shirt za njano? mlikuwa mnazuia maendeleo B eeh? please nambie hukuwa mmoja wao!

jamani tshirt tena church eeeh!!! sio mimi, mie nimevaa ile nguo nloshonaga kwa fundi Ally unaikumbuka??
 
Presha presha presha ya nini, mama mbona huniamini?
 
LOL sikujua kama una kipaji hivi cha kuimba!
Mimi ni hawavumi lakini wamo(underground)
do ze nidfuli plz ya kuibua vipaji humu Jf.
Anzisha JF STAR SEARCH.Wewe na Chris ndo mtakuwa wasimamizi wakuu.
 
Mimi ni hawavumi lakini wamo(underground)
do ze nidfuli plz ya kuibua vipaji humu Jf.
Anzisha JF STAR SEARCH.Wewe na Chris ndo mtakuwa wasimamizi wakuu.
Eventually we utakuwa mshindi.........!
 
Mamushka! mbona wanitenda mwendhio.cku hizi umenisambukila kabisa!

Mrembo wa Iribini mie karibu ntakuchukia kwa kweli....wat u r doing to me haishauriwi hata na madaktari......
 
Mrembo wa Iribini mie karibu ntakuchukia kwa kweli....wat u r doing to me haishauriwi hata na madaktari......

Hiyo vocabulary umeitoa wapi tena mamushka?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…