Kaizer
Platinum Member
- Sep 16, 2008
- 25,324
- 17,846
anabembeleza asije akanyimwa huduma TARBENAKLE
Tabernakulo na kwenyewe duh...heri wenye moyo safi....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
anabembeleza asije akanyimwa huduma TARBENAKLE
Siku ya wanawake duniani lazima ienziwe. Jana ulirudi home saa ngapi hommie?
Umeonae? Afu Eliza akitupikia chakula kitamu cha usiku wanalalamikaga hawa..........Acha uchoyo wewe sasa unataka akale wapi kwa Eliza?
Maana wataurithi ufalme wa mbingu.Tabernakulo na kwenyewe duh...heri wenye moyo safi....
Jana niliwahi home. Sikujua kumbe ukiwahi home inakuwa karaha kwa watoto. LOLZ!saaa 12..mahudhurio jana chawote ilikuwa H. Sijui leo najielezaje. Hommie nina shaka jama usiku ulikuwa mrefu sana
Jana niliwahi home. Sikujua kumbe ukiwahi home inakuwa karaha kwa watoto. LOLZ!
We unataka kukamata newz, Matesha anataka kuangalia katuni. Wapi na wapi? LOLZ!vipi ulijikuta ukitaka kuangalia taarifa ya habari? LOL
huyu charity ALIANDIKA NINI?😀😀
We unataka kukamata newz, Matesha anataka kuangalia katuni. Wapi na wapi? LOLZ!
I just wanted to say the following ;huyu charity ALIANDIKA NINI?😀😀
I just wanted to say the following ;
Mpenzi wangu Chris mimi nakupendaaaa,unajua ndo mana wanitesaaaaaa.
sio siri haniiiiiii wanipa preshaaaaaaaaaaaaaaa,preshaaaaa,preshaaaaaa!
Vipi kuhusu elizaaaaaaaaa ,mbona mila zimezidiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!
Hata yule Roziiiiiiiiiii ,Tafadhali acha milaaaaaaaaaa.
hakika hii asubuhi ni njema.....no wonder nimevaa nguo yangu ya church!!!
ndo zile t shirt za njano? mlikuwa mnazuia maendeleo B eeh? please nambie hukuwa mmoja wao!
Presha presha presha ya nini, mama mbona huniamini?I just wanted to say the following ;
Mpenzi wangu Chris mimi nakupendaaaa,unajua ndo mana wanitesaaaaaa.
sio siri haniiiiiii wanipa preshaaaaaaaaaaaaaaa,preshaaaaa,preshaaaaaa!
Vipi kuhusu elizaaaaaaaaa ,mbona mila zimezidiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!
Hata yule Roziiiiiiiiiii ,Tafadhali acha milaaaaaaaaaa.
Mimi ni hawavumi lakini wamo(underground)LOL sikujua kama una kipaji hivi cha kuimba!
Presha presha presha ya nini, mama mbona huniamini?
Eventually we utakuwa mshindi.........!Mimi ni hawavumi lakini wamo(underground)
do ze nidfuli plz ya kuibua vipaji humu Jf.
Anzisha JF STAR SEARCH.Wewe na Chris ndo mtakuwa wasimamizi wakuu.
Mamushka! mbona wanitenda mwendhio.cku hizi umenisambukila kabisa!kila mnapotoka oooh ye arudi na ndonya aaah!!
Mamushka! mbona wanitenda mwendhio.cku hizi umenisambukila kabisa!
Mrembo wa Iribini mie karibu ntakuchukia kwa kweli....wat u r doing to me haishauriwi hata na madaktari......