Chrispin wa JF...every womans dream hubby!!

Chrispin wa JF...every womans dream hubby!!

Hommie bana! Umenikumbusha enzi za huyu mtu? Hivi Chrispin alifia wapi jamani?
 
Sijui niweke picha yangu hapa ili nipate mke humu JF nitafurahi, nitafanya kima wewe krispini
dah kwan iyo syo picha yako?ni nilikupenda saaaaaaaaaaaana cz nilipenda mwonekano wako nina aleg na mahand sam sasa km si picha yako tena ahhhhhhh nghairi bas skupend tena!!!!!!!
weka pcha wanaotaka NYUSO watakuja......bt mi iyo avatar yako ndo nkajua wewe ..haaaa nasepa km si wewe!!!!!!!1
 
every woman’s dream hubby!!!!!!!!!!!!!!

HONGERA ZIONDAUGHTER MUME UMEMPATA

Mpwa bwana na hapo infidelity haijulikani ukiwa unajishugulisha hivyo nyumbani saa ngapi mkeo atahisi una du ze nid ful kwingine
 
Mpwa bwana na hapo infidelity haijulikani ukiwa unajishugulisha hivyo nyumbani saa ngapi mkeo atahisi una du ze nid ful kwingine

Kelele za mlango hazimnyimi mwenye nyumba usingizi....usisahau hilo mpwa!
 
Back
Top Bottom