CHRIST IS KING, ahsante Shomari Kapombe kwa ujumbe wako murua kwenye tisheti yako

YESU NI MUWEZA

Setfree
Mashabiki wa mpira, uzi wangu waliubeza.
Sasa waambie wafumbe macho wasimtazame huyo Kapombe. Maana wakimtazama tu wanakutana na Injili kwenye tisheti yake: "CHRIST IS KING"
Hakuna namna ya kukwepa. Injili lazima kila mtu aisikie, asiwepo mtu wa kutoa udhuru siku ya mwisho.
"Tena hii Habari Njema ya Ufalme itahubiriwa katika ulimwengu wote, kuwa ushuhuda kwa mataifa yote; hapo ndipo ule mwisho utakapokuja."(Mathayo 24:14)
 
Mungu ambariki sane yule kijana, jana amefanya kazi kubwa itakayobariki sana maisha yake na maisha ya watoto wake, na Mkono wa Mungu ukiwa juu yako hata uchukiwe vipi hawatakuweza, kwa Jina la Yesu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…