Mapombe ndio nani huko mjini daslam?
Makolo yatakuja kuweke yenyewePicha mkuu
Hongera Sana. Kuweza kucheza hizo timu mbili za kariakoo zinazoendeshwa kwa Mila na desturi za kiarabu bila kuathiri Imani yako iliyotofauti na ya kiarabu nibinde Sana. Timu ambazo zikishinda, au zikiwa zinafanya maombi wanaletewa wazee wanafanya maombi ya taratibu za kiarabu? Kuna mmoja ya timu pinzani ili mambo yake yaende ilibidi wamchagulie jina ila sijui kama bado anaendelea maana akifunga goli anafanya ishara ya msalaba
👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿Hongera Sana. Kuweza kucheza hizo timu mbili za kariakoo zinazoendeshwa kwa Mila na desturi za kiarabu bila kuathiri Imani yako iliyotofauti na ya kiarabu nibinde Sana. Timu ambazo zikishinda, au zikiwa zinafanya maombi wanaletewa wazee wanafanya maombi ya taratibu za kiarabu? Kuna mmoja ya timu pinzani ili mambo yake yaende ilibidi wamchagulie jina ila sijui kama bado anaendelea maana akifunga goli anafanya ishara ya msalaba