CHRIST IS KING, ahsante Shomari Kapombe kwa ujumbe wako murua kwenye tisheti yako

Hongera Sana. Kuweza kucheza hizo timu mbili za kariakoo zinazoendeshwa kwa Mila na desturi za kiarabu bila kuathiri Imani yako iliyotofauti na ya kiarabu nibinde Sana. Timu ambazo zikishinda, au zikiwa zinafanya maombi wanaletewa wazee wanafanya maombi ya taratibu za kiarabu? Kuna mmoja ya timu pinzani ili mambo yake yaende ilibidi wamchagulie jina ila sijui kama bado anaendelea maana akifunga goli anafanya ishara ya msalaba
 
πŸ‘πŸΏπŸ‘πŸΏπŸ‘πŸΏπŸ‘πŸΏπŸ‘πŸΏπŸ‘πŸΏπŸ‘πŸΏπŸ‘πŸΏπŸ‘πŸΏπŸ‘πŸΏπŸ‘πŸΏπŸ‘πŸΏπŸ‘πŸΏπŸ‘πŸΏπŸ‘πŸΏπŸ‘πŸΏπŸ‘πŸΏπŸ‘πŸΏπŸ‘πŸΏπŸ‘πŸΏπŸ‘πŸΏπŸ‘πŸΏπŸ‘πŸΏπŸ‘πŸΏπŸ‘πŸΏ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…