Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] chukua sambusa moja tuHaahaa, mzee kaona hali mtaani ngumu kaamua kuacha zile pary za sambusa moja moja mkiwa wima, kama kuna mtu aliifaidi ikulu ni Jakaya jamani loo acha aendelee kuzoa tuzo maana anajua kula na wengine.
kaka hizi picha zako huwa zinanikosha sana..
katisha au bangi?Mkuu yaani uuze wewe mwenyewe halafu udai risiti!!!?...Utakuwa umetisha sana...
Mkuu alitisha sana haa, si kubana matumizi kule bali balaa, halafu anaepewa sambusa moja ni mwanajeshi haahaaa utani wa ngumi ule.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] chukua sambusa moja tu
Kwa jicho pana, kwa kuwa hafla hiyo ilikua maalum kwa ajili ya rais wa Congo ilibidi sana msanii wa congo awepo maalum kwa kuwapa raha raia wa kongo.. Pia Magufuli anamkubali sana Bella mara nyingi hua anazunguka nae.. Yote kwa yote Bella nimekaa nae ni mtu mwenye roho ya CHUMA, na ana udhubutu wa kufanya chochote.. Pia tujifunze Wakongo ndio wataalam wa Muziki hapa africa (muziki halisi wa band/live) ndio maana dunia nzima kwenye club za usiku lazima uwakute wanapiga live band/muziki hali.. Pia Wakongo ni watu wenye kujiamini na wenye roho ngumu.. Jiulize leo wasanii laini kama yamoto band walivyo laini wanaweza kwenda wenyewe nchi za watu na kuishi huko na kuanza kutafuta maisha ya muziki.. JIBU ni hapana ..Uku sasa ni kukosa uzalendo kwa nini asingewaalika wasanii wa nyumbani? Ingekuwa Ikulu ya Congo kuna msanii wa Tanzania angealikwa kweli?
Wageni kutoka nje ya Tanzania wakija huku inatakiwa tuwaonyeshe mila na utamaduni wetu ili wakifika kwao Watutangaze. Unafikiri Kabila atajifunza nini kwa Christian Bella wakati Congo kuna wanamuziki wa bolingo wazuri zaidi ya huyo Bella.. Ndio maana watalii wa kizungu wakija Tanzania tunawauzia vitu vya kitamaduni kama vinyago,shanga za kimasai, n.k ili wakifika kwao wakatangaze utamaduni wetu.....Huwezi kumuuzia mtalii TV au Simu wakati kwao zipo nzuri zaidi ya hizi huku kwetu.Kwa jicho pana, kwa kuwa hafla hiyo ilikua maalum kwa ajili ya rais wa Congo ilibidi sana msanii wa congo awepo maalum kwa kuwapa raha raia wa kongo.. Pia Magufuli anamkubali sana Bella mara nyingi hua anazunguka nae.. Yote kwa yote Bella nimekaa nae ni mtu mwenye roho ya CHUMA, na ana udhubutu wa kufanya chochote.. Pia tujifunze Wakongo ndio wataalam wa Muziki hapa africa (muziki halisi wa band/live) ndio maana dunia nzima kwenye club za usiku lazima uwakute wanapiga live band/muziki hali.. Pia Wakongo ni watu wenye kujiamini na wenye roho ngumu.. Jiulize leo wasanii laini kama yamoto band walivyo laini wanaweza kwenda wenyewe nchi za watu na kuishi huko na kuanza kutafuta maisha ya muziki.. JIBU ni hapana ..
Kila zama na kitabu chakeDiamond vepeeee
Chaaaa hao wanaoumba una rambooo mm nina muwaaa....[emoji19] [emoji19] [emoji19]Yamoto band kesha wachoka?
Usipende kukariri maisha.. je unadhani kutangaza utamaduni ndio ilikua target ya Magufuli??? Je unajua kuna mambo ya msingi zaidi ya kutangaza utamaduni/muziki wetu pale??? Je unajua Christian bella kuwepo pale ni muhimu mara 100 zaidi ya kutangaza utamaduni wetu???? Ngoja nikupe somo kidogo, kuwepo kwa Bella pale ni trick kubwa aliyotumia Magufuli kuonyesha kwamba Wakongo wanadhaminiwa, na wanapewa nafasi, hawabaguliwi, hii itasaidia sana hata wageni wetu na watanzania waliopo kongo kupewa priorities kadhaa., as long as hapo nyuma kulikua na ogomvi kati ya tanzania na kongo, kongo walianza kudai tunawasaidia waasi.. Tukiacha burudani hii ilikua ni trick ya kuonyesha umoja, mshikamano, na amani baina ya Tanzania na KongoWageni kutoka nje ya Tanzania wakija huku inatakiwa tuwaonyeshe mila na utamaduni wetu ili wakifika kwao Watutangaze. Unafikiri Kabila atajifunza nini kwa Christian Bella wakati Congo kuna wanamuziki wa bolingo wazuri zaidi ya huyo Bella.. Ndio maana watalii wa kizungu wakija Tanzania tunawauzia vitu vya kitamaduni kama vinyago,shanga za kimasai, n.k ili wakifika kwao wakatangaze utamaduni wetu.....Huwezi kumuuzia mtalii TV au Simu wakati kwao zipo nzuri zaidi ya hizi huku kwetu.
Akili huna
Tumia pesa kupata pesa,umejaribu kutathmini hiyo ziara ya muheshimiwa Kabila itatuingizia ngapi mwisho wa siku?
Yamoto band kesha wachoka?
Nani amekwambia hiyo show ilikuwa kwaajili yakutaka kutangaza utamduni? Kwanini isiwe Kabila anapenda muziki wa kikongo ndio maana akachaguliwa Bella? Ndio maana hata Tz kuna migawaha ya wachina, ili wapate kitu wanachotaka wawapo ugenini.Wageni kutoka nje ya Tanzania wakija huku inatakiwa tuwaonyeshe mila na utamaduni wetu ili wakifika kwao Watutangaze. Unafikiri Kabila atajifunza nini kwa Christian Bella wakati Congo kuna wanamuziki wa bolingo wazuri zaidi ya huyo Bella.. Ndio maana watalii wa kizungu wakija Tanzania tunawauzia vitu vya kitamaduni kama vinyago,shanga za kimasai, n.k ili wakifika kwao wakatangaze utamaduni wetu.....Huwezi kumuuzia mtalii TV au Simu wakati kwao zipo nzuri zaidi ya hizi huku kwetu.