Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Sambusa zenyewe ni zile za kabichi sio za nyama.Haahaa, mzee kaona hali mtaani ngumu kaamua kuacha zile pary za sambusa moja moja mkiwa wima, kama kuna mtu aliifaidi ikulu ni Jakaya jamani loo acha aendelee kuzoa tuzo maana anajua kula na wengine.
Diamond kashatokwa povu kwenye kipindi cha jahazi leo jioni.Diamond vepeeee
Kasemaje?Diamond kashatokwa povu kwenye kipindi cha jahazi leo jioni.
Dada yangu Nifah kwenye ubuyu hukosekani, ndio hapo nakupendeaga.Kasemaje?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] zama za JK zimepita.
Wacha mawzo ya kibaguzi dogo.Uku sasa ni kukosa uzalendo kwa nini asingewaalika wasanii wa nyumbani? Ingekuwa Ikulu ya Congo kuna msanii wa Tanzania angealikwa kweli?
Hivi waliitwa wasanii wenye asili ya Congo tu? Kwasababu hata Mzee Zahir Zoro ni wa huko huko.Zahir zoro alikuepo pia
Classmate wako ni nani?namuona classmate wangu yupo makini
Alikuwa makini zaidi ya woteClassmate wako ni nani?
Kumbe ulisoma na wema sepetu, hongera.
Hayo ni maoni yako kama yupo wepa hapo sawaKumbe ulisoma na wema sepetu, hongera.
Wageni kutoka nje ya Tanzania wakija huku inatakiwa tuwaonyeshe mila na utamaduni wetu ili wakifika kwao Watutangaze. Unafikiri Kabila atajifunza nini kwa Christian Bella wakati Congo kuna wanamuziki wa bolingo wazuri zaidi ya huyo Bella.. Ndio maana watalii wa kizungu wakija Tanzania tunawauzia vitu vya kitamaduni kama vinyago,shanga za kimasai, n.k ili wakifika kwao wakatangaze utamaduni wetu.....Huwezi kumuuzia mtalii TV au Simu wakati kwao zipo nzuri zaidi ya hizi huku kwetu.
Hata huyo classmate wako hayupo.
We ndio unasma[emoji16]Hata huyo classmate wako hayupo.
Acha uongo kijana.We ndio unasma[emoji16]