myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 166,767
- 705,461
Sehemu inayoongozwa kikristu tena Catholic ni Vatican wana utawala kamili wa kikristu na idara zao. Bank yao na namna ya kuendesha shughuli zao kidini na kimapato...na hiyo ndiyo point yenyewe, ni kwa sababu ni utamaduni unaovutia …
Taja tajiri mmoja nguli duniani.Ukirsto ni Nuru!
Hata wasomi manguli ni Christian
Matajiri wakubwa dunian ni Christian
Inawezekana, ila sio huyu.Simuungi hoja ila argument yako ipo weak sana.... Ila unajua kuna uwezekano darasa la watu mia anafaulu mtu moja Tuu.... mfamo mitiani ya legalz
Hebu soma Title ya uzi?Zambia au south sudani tangia lini zishwahi kuwa dola ya kikristu? Zambia au sudani ukristu una miaka mingapi? 50, 60 au 100?
GDP ya Libya during Gadaff eraLibya ilikua nchi Tajiri sanaa... lakin hao unaowaita Nchi Tajiri wakaamua kuifanya Libya kua masikini
Nazan utakua umenielewa point yangu kama akili zako zinasoma 100%
Na nchi za wazungu wanawaza LGBTQ kufumuana midume kwa midume au na wewe ni mwenzao?nchi za waarab hovyoooo. sn..wanawaza kujipua lipua tu hamna kinginee
natumika na nani? Labda nikuulize aliyeleta mambo ya kishenzi ya kufilana au kubaka wanaume hapa kwetu ni nani? kwa nini mashiga na baa za kishoga ziko magomeni ilala na sehemu kama temeke?
bora hata huko western countries mambo ya u gay yanabakia kwenye gay communities lkn hapa kwetu ushenzi wa wanaume kubaka wanaume kama punishment uliletwa na nani ? huu siyo uafrika wetu, huwezi kuta wamasai wanaume wanafilana hiyo ni magomeni au ilala tu, kwa nini unafikiri?
Ndugu, naomba unifahamishe kwa kina ili nipate kufahamu, ukiambatanisha ushahidi wa kimaandiko na picha itapendeza zaidi! Naamanisha vitabu, nyaraka n.k! Siyo hisia zako dhidi ya jamii fulani! Lete data!Labda nikuulize aliyeleta mambo ya kishenzi ya kufilana au kubaka wanaume hapa kwetu ni nani?
Mkuu mbona wewe wa mwaka 2007 unakuwa hivi, vipi watoto walojiunga juzi, acha bhana hii mada inakutia aibuilianzishwa na kuendeshwa kikristu, ndiyo, hata katiba ya USA inamtaja Mungu …
Kujilipua ni mtu. Hakuna serikali ya kujilipua.nchi za waarab hovyoooo. sn..wanawaza kujipua lipua tu hamna kinginee
Unazijua nchi za Latin America vizuri? Kuna nchi za Paraguay, Costa Rica, Peru, El Salvador Kwa kiswahili ni Bwana ni mwokozi, Venezuela, Bolivia, huko Kuna baadhi ya sehemu Kuna umasikini wakupindukia miundo mbinu mibovu ata bongo tupo mbali zaidi, na hizo nchi 90% ya Raia ni Wakiristu maisha huko ni maandamano Kila siku watu hawana ata uhakika wa kulaKuna anayejua sababu kwa nini hakuna nchi ambayo ilikuwa na dola ya kikristu kwa maana ilifwata ukristu ambayo ni masikini?
Kuna nchi nyingi zilizofwata Hinduims lkn masikini, zilizofwata Budhism zipo masikini na zilizofwata Uislamu pia nyingi zipo masikini na hata kwetu afrika ambako hatukuwa na Dini pia ni masikini kwa nini unafikiri christian countries zote zimeendelea kwenye human rights, democracy, human development very high, sababu ni ipi unadhania ?
Pia muulize China, Japan, Singapore, Malaysia, nk.; kama ni nchi maskini au kama ni za kikristoKumbe Arabs Emirates ni masikin? Saudia ni masikini? Qatar ni masikini? kila kona unaonaga Qatar airways n masikini? tulishuudia walivoandaa kombe la dunia kumbe ni masikini?
kazi ipo akili zikiwa chache
Nafikiri anamaanish Norway, Finland, Denmark, Sweden, Iceland, Switzerland, Greenland, German, etcUnatoa kichwani mwako au una ushahidi???!!!
Watoto wa juzi kama wakina Lucas MwasambwandaMkuu mbona wewe wa mwaka 2007 unakuwa hivi, vipi watoto walojiunga juzi, acha bhana hii mada inakutia aibu
Nchi za kikirsto zipi hizo zaidi ya uingereza etc. Nyingi habituation mfumo wowote wa dini, kila mtu ana uhuru wa kuabudu anachoona kinafaa.Ushahidi upo wazi kila mahali, hakuna nchi iliyofwata dola ya kikristu ambayo ni masikini leo hii …
Nchi unazotaja ni wakristo jina tu, kinachowafanya kuendelea ni uwajibikaji, uwazi na kuwa na nidhamu likija suala la kazi. Hawana unafiki na ubinafsi kama viongozi wetu wa AfricaSouth Africa, most of Europe countries, North and South American countries.
Nchi za magharibi na Ulaya asilimia kubwa ni za wakristo. Nchi za mashariki ya kati na Afrika nyingi ni za waislamu