Christian Countries hakuna masikini, kwanini?

Christian Countries hakuna masikini, kwanini?

Nchi za waarabu ovyo sana wanawaza kujipua lipua tu hamna kinginee
 
Libya ilikua nchi Tajiri sanaa... lakin hao unaowaita Nchi Tajiri wakaamua kuifanya Libya kua masikini

Nazan utakua umenielewa point yangu kama akili zako zinasoma 100%
GDP ya Libya during Gadaff era
 
natumika na nani? Labda nikuulize aliyeleta mambo ya kishenzi ya kufilana au kubaka wanaume hapa kwetu ni nani? kwa nini mashiga na baa za kishoga ziko magomeni ilala na sehemu kama temeke?

bora hata huko western countries mambo ya u gay yanabakia kwenye gay communities lkn hapa kwetu ushenzi wa wanaume kubaka wanaume kama punishment uliletwa na nani ? huu siyo uafrika wetu, huwezi kuta wamasai wanaume wanafilana hiyo ni magomeni au ilala tu, kwa nini unafikiri?

Duh!
 
Anamaanisha Nchi ambazo zina mfumo ya kikisto. Ili uwe kiongozi lazima uwe mkisto au neutral si dini zingine.
 
Labda nikuulize aliyeleta mambo ya kishenzi ya kufilana au kubaka wanaume hapa kwetu ni nani?
Ndugu, naomba unifahamishe kwa kina ili nipate kufahamu, ukiambatanisha ushahidi wa kimaandiko na picha itapendeza zaidi! Naamanisha vitabu, nyaraka n.k! Siyo hisia zako dhidi ya jamii fulani! Lete data!
 
Kuna anayejua sababu kwa nini hakuna nchi ambayo ilikuwa na dola ya kikristu kwa maana ilifwata ukristu ambayo ni masikini?

Kuna nchi nyingi zilizofwata Hinduims lkn masikini, zilizofwata Budhism zipo masikini na zilizofwata Uislamu pia nyingi zipo masikini na hata kwetu afrika ambako hatukuwa na Dini pia ni masikini kwa nini unafikiri christian countries zote zimeendelea kwenye human rights, democracy, human development very high, sababu ni ipi unadhania ?
Unazijua nchi za Latin America vizuri? Kuna nchi za Paraguay, Costa Rica, Peru, El Salvador Kwa kiswahili ni Bwana ni mwokozi, Venezuela, Bolivia, huko Kuna baadhi ya sehemu Kuna umasikini wakupindukia miundo mbinu mibovu ata bongo tupo mbali zaidi, na hizo nchi 90% ya Raia ni Wakiristu maisha huko ni maandamano Kila siku watu hawana ata uhakika wa kula
 
Mafuta ni resource inayowatajirisha sana Waarabu na kuwafanya kuwa Matajiri, ila teknolojia ya uvunaji na uchakataji wa hayo mafuta unatoka ulaya

Halafu Utajiri unazingatia zaidi Population, Exportation ya Goods (GDP) na rasilimali ndani ya nchi husika

Mpaka mwezi uliopita October 2023 katika Top 10 ya nchi tajiri zaidi duniani nchi 8 ni zenye Christians wengi, moja ipo neutral yaani SINGAPORE na nchi ya Kiislam ni moja tu yaani QATAR
 
Kumbe Arabs Emirates ni masikin? Saudia ni masikini? Qatar ni masikini? kila kona unaonaga Qatar airways n masikini? tulishuudia walivoandaa kombe la dunia kumbe ni masikini?

kazi ipo akili zikiwa chache
Pia muulize China, Japan, Singapore, Malaysia, nk.; kama ni nchi maskini au kama ni za kikristo
 
Ushahidi upo wazi kila mahali, hakuna nchi iliyofwata dola ya kikristu ambayo ni masikini leo hii …
Nchi za kikirsto zipi hizo zaidi ya uingereza etc. Nyingi habituation mfumo wowote wa dini, kila mtu ana uhuru wa kuabudu anachoona kinafaa.
 
South Africa, most of Europe countries, North and South American countries.

Nchi za magharibi na Ulaya asilimia kubwa ni za wakristo. Nchi za mashariki ya kati na Afrika nyingi ni za waislamu
Nchi unazotaja ni wakristo jina tu, kinachowafanya kuendelea ni uwajibikaji, uwazi na kuwa na nidhamu likija suala la kazi. Hawana unafiki na ubinafsi kama viongozi wetu wa Africa
 
Back
Top Bottom