Doto12
JF-Expert Member
- Nov 2, 2023
- 640
- 1,141
Faiza ni kweli hilo ila kuna Islamic country ni tajiri tu kama Iran nkTutajie hizo ncho nchi za Kikristo tutazame kama kweli hakuna masikini.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Faiza ni kweli hilo ila kuna Islamic country ni tajiri tu kama Iran nkTutajie hizo ncho nchi za Kikristo tutazame kama kweli hakuna masikini.
Rudi kwenye mada... Christmas tree ni utamaduni tu wamejiwekea kulingana na sera za utalii mwisho wa mwaka.pole ya nini? Hivi unajua kwamba abu dhabi uae mwezi desemba mwezi ujao kuna christmas trees nyingi klk hata Ulaya? Unafikiri ni kwa nini?
Namshukuru Yeye mimi sio masikini.Wewe hakukuahidi huo utajiri? Wakristo wengine hawamo kwenye hiyo ahadi?
Fanya kazi wewe hakuna utajiri utakaokuijia kwa njia ya kimiujiza,Hata huyo Mungu unayemuabudu anasema "Asiyefanya kazi na asile"
Jamaa anaongelea nchi za kikristu, wewe unaongelea kitu kingine.Mifumo ya kikiristo ni mifumo ya uwekezaji kifkra kwenye rasilimali watu, kibiashara na kiuchumi dunia nzima. Hiko ndicho kinachowafanya wasiwe masikini. Wamewekeza na sasa wanavuna tu.
Mwanzo waliwekeza kwenye missionalies... Walijenga hospitalis, shule, vyuo, viwanda nk. Walitoa huduma kwa ghalama za chini kabisa wakijua watavuna ingawa kidogo ila endelevu kwa miaka mingi. Hadi karne.
Wewe chukulia leo ukitoa sadaka ya sh.elf10 , , inapelekw palokia, palokia inatoa asilimia inaenda kwa kadinari na kadinali anatoa asilimia inaenda huko vatikani.fikilia kwa dunia nzima.
Kwa mfumo huu kwanini kama kuna kanchi kana watu wao na kanayumba kwanini wasiende kuwekeza na baadae kuvuna?
Kwa ufupi baada ya mifumo ya kiserikali inayofuata ni mifumo ya ukiristo. Leo hii mifumo ya kiserikali ya vyama ikizimwa basi mifumo ya ukiristo haina kujipanga.inaweza kusimamia binadamu na maisha yataenda bila ya shida.
Dini zingine kama uislam bado hazijaamka kuwekeza kiuchumi, wao wamesimamia imani tu. Hivyo bado hawawezi au hawana sera za kiuchumi na kusimamia rasilimali watu.
Hivyo ni vigumu kuendelea zaidi kiuchumi.na hata wakiwekeza ni kwenye nchizao tu kutokana na rasilimali za nchi zao.
Hebu chukulia hata kwenye siasa za nchi bila ya dini..ukiangalia kati ya yale makoloni yaliyotawala afrika nchi zilizofanikiwa kuacha sera za nchi kujiongoza kisiasa na uchumi ni uingereza na ufaransa tu.zilizobaki zote zimeondoka bila ya kuwachia waafrika mifumo ya kujiendesha.
Jibu maswali yote yaliyomo kwenye hiyo comment uliyoiquote kisha tuendelee.Namshukuru Yeye mimi sio masikini.
Kuhusu wakristo wengine.....kila mtu atauchukua mzigo wake mwenyewe.
HujaelewaJibu maswali yote yaliyomo kwenye hiyo comment uliyoiquote kisha tuendelee.
Soma tena nilichoandika utaelewa.Jamaa anaongelea nchi za kikristu, wewe unaongelea kitu kingine.
Zote hizo siyo nchi za kikristo, zote hizo ni nchi "secular: hazina msimamo wa dini fulani.hiyo ni easy, western Europe, North America, Australia, New Zealand hata South Afrika ilikuwa rich …
And the oposite is true. Those countries you mentioned did evil stuff on earth . They are rich because of evil dids.kuna anayejua sababu kwa nini hakuna nchi ambayo ilikuwa na dola ya kikristu kwa maana ilifwata ukristu ambayo ni masikini? Kuna nchi nyingi zilizofwata Hinduims lkn masikini, zilizofwata Budhism zipo masikini na zilizofwata Uislamu pia nyingi zipo masikini na hata kwetu afrika ambako hatukuwa na Dini pia ni masikini kwa nini unafikiri christian countries zote zimeendelea kwenye human rights, democracy, human development very high, sababu ni ipi unadhania ?
Rudi kwenye mada... Christmas tree ni utamaduni tu wamejiwekea kulingana na sera za utalii mwisho wa mwaka.
Hujaona mabenki hapa kwetu wakiweka??..au ni mabenkk ya kikrisu🤣🤣
Yupo JF tangu 2007, huyo sio mtoto ni kibabu kilichokosa busara na maarifaUna umri gani? Isije ikawa tunahangaika na katoto ka Shule kanakosubiri ugali wa Bimkubwa home.
Zote hizo siyo nchi za kikristo, zote hizo ni nchi "secular: hazina msimamo wa dini fulani.
Mfano umetaja "north America Uislam ulikuwepo kwanza kabla ya Ukristo. Tena mabaharia wa Kiislam ndiyo waliwaongoza kina Columbus kufika huko.
Taja nchi usitaje kijinga jinga kuukimbia ukweli.
Ushahidi waangu wa America huu hapa uliofanyiwa utafiti kabisa, kuwa Uislam ulikuwepo huko karne 7 (miaka 700) kabla ya Mkristo wa kwanza kwenda huko:
Historical facts concerning many established information on diverse fields continue to be unraveled to the astonishment of us all. One of these facts, previously little-known by many, is that Muslims had actually set foot on American soil centuries before Columbus’ illustrious expedition. We hope as you read ahead in this essay that some information and documents, excerpts from various sources, and the results of archeological excavations will demonstrate the truth of the aforementioned proposition.
DID THE COMPANIONS OF THE PROPHET GO TO AMERICA?
Research conducted in the West during the twentieth century has proven the existence of Muslims on the American mainland approximately seven centuries before Christopher Columbus. Similarly, archeological excavations, linguistic, and philological analyses of languages and settlement names in the region, the fact that coins, household tools and other utensils were discovered there that were similar to those of the Abbasids in the eighth and ninth centuries are all justifications of the theory that Muslims, beginning from 650 CE, made their way to the continent for settlement, during which time they erected mosques and schools, leaving a prolonged impact on the natives, i.e. American Indians.
The Islamic sources carry no information as regards Muslim settlement in America, although research undertaken by Professor Barry Fell of Harvard University confirms that Muslims reached the continent at the time of Uthman, the third Caliph, concomitantly indicating the significant possibility that some of the Companions could have arrived there as well.
Chanzo: Islam and Muslims in America before Columbus - The Fountain Magazine
Nilijua tu usingeweza kujibu maswali niliyokuuliza,umeishia kuruka ruka tu.Hujaelewa
Simuungi hoja ila argument yako ipo weak sana.... Ila unajua kuna uwezekano darasa la watu mia anafaulu mtu moja Tuu.... mfamo mitiani ya legalzMtoa mada ukiona % kubw ya wachangiaj wanakutoa akili jua kweli Huna akili aseee
Haiwezekan vichwa 20 vikuambie huna akili