Ronaldo anazingua ana mambo ya kiafrika kabisa yule sijui sababu kule Ureno kakua na wamakonde wa Ureno.
NB: Nampa heshima yake kwa jitihada zake na rekodi alizofikisha pia kwa moyo wake wa kusaidia/kurudisha kwa jamii. Na kutochora matattoo.
Msije kunipopoa mawe tu