uwe hodari
JF-Expert Member
- Dec 16, 2022
- 4,045
- 8,608
Kwann hulali [emoji51]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yes watu huwa hawadumu kileleni, ukifika kifuatacho ni kushukaHuwezi kung'aa maisha yako yote
Hata Mfalme na Mchawi wa Soka Ulimwenguni Pèle alicheza sana mechi za "ndondo" huko Marekani (tena Marekani ya kipindi hicho kwenye soka. Imagine!) baada ya kucheza kwa mafanikio sana Santos. Lakini, haikuharibu image yake na amefariki akiwa bado ni Mfalme na Mchawi wa Soka Ulimwenguni. Na Ronaldo ataendelea kuwa bora duniani licha ya kucheza Arabuni.Naweka tu tahadhali, alipaswa azisome alama za nyakati. Muda unaenda atadharaulika atajikuta siku moja anakuja sajiliwa Simba na bado anawekwa bench.
Umri unakataa; moyo unataka lakini mwili unakataa. Amekuwa mchezaji bora kwa miaka mingi. Amevuna pesa nyingi sana kutokana na uchezaji. Sasa ulikuwa wakati mzuri wa kustaafu akiwa na heshima.
Huko mbeleni atajikuta anatolewa kwa mkopo Simba. Akija Simba anacheza match moja Coach Mbrazili anamtoa. Baadaye anatolewa kwa mkopo Ihefu. Basi huko anacheza cheza matches kadhaa then wanamwacha.
Inawezekana bado anaupenda mpira but mpira umemchoka kwa sasa unataka aagane nao. Yeye analazimisha ndoa kama Dr. Mwaka.
Unaeza enda ukapigwa wewe na ukapewa cae ya trespassing mbwaa wewe[emoji51][emoji51]
Ningekuwa na uwezo ningekufuata hadi kwenu nikupige nirudi kwangu
MSICHOJUA nyie Ni biashara.Naweka tu tahadhali, alipaswa azisome alama za nyakati. Muda unaenda atadharaulika atajikuta siku moja anakuja sajiliwa Simba na bado anawekwa bench.
Umri unakataa; moyo unataka lakini mwili unakataa. Amekuwa mchezaji bora kwa miaka mingi. Amevuna pesa nyingi sana kutokana na uchezaji. Sasa ulikuwa wakati mzuri wa kustaafu akiwa na heshima.
Huko mbeleni atajikuta anatolewa kwa mkopo Simba. Akija Simba anacheza match moja Coach Mbrazili anamtoa. Baadaye anatolewa kwa mkopo Ihefu. Basi huko anacheza cheza matches kadhaa then wanamwacha.
Inawezekana bado anaupenda mpira but mpira umemchoka kwa sasa unataka aagane nao. Yeye analazimisha ndoa kama Dr. Mwaka.
Kafunga goli leo mbona hamsemi mxiew
Yaani LeoFeb 5 si ndo anafikisha 38