Dr Rutagwerera Sr
JF-Expert Member
- Dec 21, 2011
- 5,809
- 11,462
Mzee wa kuonea timu vidogo vya la liga a.k.a mzee wa tizi mpira. Akikutana na wanaume hasa anafyata, anakua tiatia huruma tu.Najitahidi kuuona na kuufuatilia ubora wa huyo Christiano Ronaldo kama wengi wenu mnavyomsifia ila mpaka leo sijauona na sana sana namwona hana tofauti na Elius Maguri wa Stand United.
Hahaha mkuu huogopi?Ha ha ha kweli mkuu. Mm huwa namuita mzee wa Physical (nguvu nyingi sn).
Ha ha ha ha umenichekesha sn mkuu.Hahaha mkuu huogopi?
Ngoja wakusikie wenyewe. Talents hazitumii nguvu mingi ktk kufanya wonders. Genious Garrincha enzi anacheza alikua anaweza kuzama dimbani akiwa bwiii lakini shughuli yake ni HISTORIA mpaka leo. Nimesahau ni mkongwe gani alitamka hivi: "Huwa naona aibu kumwambia CR kuwa anatumia nguvu nyingi kupita kiasi kuyasaka mafanikio, sababu nampenda."
Comment ya kichuki chukiNgoja tungojee Game zinazofuata pia, Make hata LA LIGA alizura sana ki uchezaji. Ila alikuwa tu na bahati ya kufunga hasa timu ndogo ndogo za LA LIGA kupitia assists za Bale na Benzema (zisizo na uchoyo). Ila kimchezo kiujumla, kimtizamo wangu alifulia pia kwenye League.
Mbaya zaid ni mshabik wa messi lakin si mshabik wa mpiraMleta uzi anaviashiria vya ushabiki wa mesi
Nonsense... Mko bize kumjadili mwanasoka bora si mbaya lakini.Ndio umezaliwa leo au? Kuna akina Gaucho, Messi, Pele, Ronalo Dilima (Original Ronaldo), Maradona itakuwa mchoyo huyu Ronaldo feki (Mourinho)?
Messi anapafomu siku zote!! Nadhani last yr Argentina walitolewa Fainali, hadi sasa japo Kcha huwa anamuweka mzee wa kazi benchi ili aendeleze vijana, na mzee wa kazi huingia mwisho, lakni ana Magoli 3.Chuki binafc tu, kwan kudro ndio ureno ya kwanza?, acheni zenu, kushinda timu ya taifa ni tofauti Na kushinda uki Na club, tmu ya taifa anashinda pale tu kizazi kilichopo wengi ni wazr vinginevyo mchezaji mmoja hawez leta mabadiliko, mess mzur lkn lini ameiletea makombe Argentina?, jibu mnalo mnao mdhalau cr7, lkn kwenye club unatumbua pesa kupata wachezaji wazur tofauti ba Na national Tim.
Suarez ni juhudi za Messi kumpaisha baada ya yy kuumia na kuwa nje ya dimba kwa muda, hivyo mfukuzano ukamuacha kidogo; japo tofauti walio muacha nayo siyo kubwa sn.Kifka fainal sawa lkn Ana kombe hta moja tangu aibuke kuwa hero wa dunia, Na bado Argentina Ina kikosi kipana kuliko ureno, tusimlaum sana cr7 kwa Tim yake kutoshinda muangalie Na mchezaji mmoja mmoja, MF. mwingine ni mfungaji Bora wa ulaya Suarez lkn Tim yke imetolewa mapema, mafanikio ya national team ni kizazi Na kizazi kufanikiwa, Leo hii Brazil ya neymar ni tofauti Na ya akina delima