Christiano Ronaldo kabanwa mbavu

Christiano Ronaldo kabanwa mbavu

Portugal Vs Austria 0:0. C. Ronaldo misses unbelievable Penalty (dk 79).
 
Huyu CR7 huwa simpendi hata kumuongelea ana mihasira isiyokuwa na maana, a najisikia kuwa yeye ndo kila kitu, sasa Juzi anawalaumu timu pinzani et wamecheza hivyo badala ya kutoka comment juu ya uchezaj wa timu yake kwanini wamekosa matokeo pamoja na kwamba timu pinzani wamecheza hovyo hapa mechi ya pili amekosa penat ya muhimu kwa timu yake Japo kukosa penat ni kawaida lakini kwahiyo ya Jana lawama zinamhusu
 
Ngoja tungojee Game zinazofuata pia, Make hata LA LIGA alizura sana ki uchezaji. Ila alikuwa tu na bahati ya kufunga hasa timu ndogo ndogo za LA LIGA kupitia assists za Bale na Benzema (zisizo na uchoyo). Ila kimchezo kiujumla, kimtizamo wangu alifulia pia kwenye League.
Hujakosea kabisa maana Barcelona ni katimu kaduchu mno ndiyo maana alikadinya
 
Huyu hapa mubwa wewe
 

Attachments

  • 1467662448838.jpg
    1467662448838.jpg
    56.8 KB · Views: 22
Ashukuriwe aliyetunga sheria ya Penet bila hyo huenda Mmoroco angekuwa na magoli yasiyozid 150
messi na simon ZAZA hawana tofauti ktk upigaji wa penalty za mwendokasi[emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Back
Top Bottom