Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hujakosea kabisa maana Barcelona ni katimu kaduchu mno ndiyo maana alikadinyaNgoja tungojee Game zinazofuata pia, Make hata LA LIGA alizura sana ki uchezaji. Ila alikuwa tu na bahati ya kufunga hasa timu ndogo ndogo za LA LIGA kupitia assists za Bale na Benzema (zisizo na uchoyo). Ila kimchezo kiujumla, kimtizamo wangu alifulia pia kwenye League.
mmoroco kavaa chupiHuyu hapa mubwa wewe
mmoroco kavaa chupi
messi na simon ZAZA hawana tofauti ktk upigaji wa penalty za mwendokasi[emoji12] [emoji12] [emoji12]Ashukuriwe aliyetunga sheria ya Penet bila hyo huenda Mmoroco angekuwa na magoli yasiyozid 150
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]messi na simon ZAZA hawana tofauti ktk upigaji wa penalty za mwendokasi[emoji12] [emoji12] [emoji12]
Long time kitambo still shining like a star in the skyRonaldo mchumba tu...