Dr Rutagwerera Sr
JF-Expert Member
- Dec 21, 2011
- 5,809
- 11,462
Mzee wa kuonea timu vidogo vya la liga a.k.a mzee wa tizi mpira. Akikutana na wanaume hasa anafyata, anakua tiatia huruma tu.Najitahidi kuuona na kuufuatilia ubora wa huyo Christiano Ronaldo kama wengi wenu mnavyomsifia ila mpaka leo sijauona na sana sana namwona hana tofauti na Elius Maguri wa Stand United.