Christiano Ronaldo kabanwa mbavu

Portugal Vs Austria 0:0. C. Ronaldo misses unbelievable Penalty (dk 79).
 
Huyu CR7 huwa simpendi hata kumuongelea ana mihasira isiyokuwa na maana, a najisikia kuwa yeye ndo kila kitu, sasa Juzi anawalaumu timu pinzani et wamecheza hivyo badala ya kutoka comment juu ya uchezaj wa timu yake kwanini wamekosa matokeo pamoja na kwamba timu pinzani wamecheza hovyo hapa mechi ya pili amekosa penat ya muhimu kwa timu yake Japo kukosa penat ni kawaida lakini kwahiyo ya Jana lawama zinamhusu
 
Hujakosea kabisa maana Barcelona ni katimu kaduchu mno ndiyo maana alikadinya
 
Ashukuriwe aliyetunga sheria ya Penet bila hyo huenda Mmoroco angekuwa na magoli yasiyozid 150
messi na simon ZAZA hawana tofauti ktk upigaji wa penalty za mwendokasi[emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…