Stratopause
JF-Expert Member
- Mar 26, 2023
- 751
- 1,461
SawA but still jamaa ni the best ashawaigi KUSEMA watu wengi wanamchukia kutokana na muonekano wake .....Messi ana innocent face sanaSaudis tayari kajitoa mbio za kuwania Ku host WC 2030!
Messi ana uwezo ila Cristiano ana uwezo zaidi ni basi tu media za ulaya ILA MIMI KWANGU RONALDO NI BEST NDIO MAANA FOOTSTEPS WAKE MBAPPE ALIMUONYA MESSI AKAMWAMBIA MIMI NDIO CRISTIANO MPYA STYLING OF PLAY NAMAANISHAIbaki kusema wewe unamkubali Ronaldo na wengine wanamkubali Messi.kama ilivyo kwa mwanamke wewe utamwelewa sana na wengine wasimwelewe hata kidogo ukilijua hilo haliwezi kukupa shida
Sent using Jamii Forums mobile app
Ronaldo ni best katika nini ?Messi ana uwezo ila Cristiano ana uwezo zaidi ni basi tu media za ulaya ILA MIMI KWANGU RONALDO NI BEST NDIO MAANA FOOTSTEPS WAKE MBAPPE ALIMUONYA MESSI AKAMWAMBIA MIMI NDIO CRISTIANO MPYA STYLING OF PLAY NAMAANISHA
mkuu mafanikio yte aliyoypt bdo unahoji ubora wake..Mie sio fan wa messi wala ronaldo ila wote wako vzr tu.
Mleta mada amesema Messi ni mzuri lakini Ronaldo ni mzuri zaidi sasa nataka nijue Ronaldo ni mzuri zaidi ya Messi kivipi? Kwa kigezo kipi anamzidi Messi?mkuu mafanikio yte aliyoypt bdo unahoji ubora wake..Mie sio fan wa messi wala ronaldo ila wote wako vzr tu.
BONGE LA POINTIVitu ambavyo Ronaldo anamzidi Messi
Demu mzuri
Followers social media
Labda na Hela sio mbali sana
Ila uwanjani hakuna kama messi
Rabda kama sikuwaona wakichezaVitu ambavyo Ronaldo anamzidi Messi
Demu mzuri
Followers social media
Labda na Hela sio mbali sana
Ila uwanjani hakuna kama messi
Leo ndo nimethibitisha bangi kweli mbaya.Messi ana uwezo ila Cristiano ana uwezo zaidi
Bangi sio mbaya,,,mtumiaji ndio mbaya!!Leo ndo nimethibitisha bangi kweli mbaya.
Ni mtazamo wakoKatika wachezaji wa mpira wa Miguu wanaoishi mpaka sasa hivi hakuna mwenye mafanikio ya mpira kuliko Messi na itachukua muda wa miaka kadhaa kumpata wa kumfikia Messi.Angalia vikombe na awards alizoshinda linganisha na mchezaji yoyote duniani kwa sasa.
Kufunga.
Mashabiki wa Ronaldo mnachrkesha sana.Cristiano Ronaldo ni complete striker, ana uwezo wa kufunga kwa miguu yote, na kichwa pia, ana good athletic body na juhudi zake katika kufanya mazoezi na NIDHAMU ya vyakula vinamfanya aonyeshe kitu uwanjani.
Tukija Kwa Lionel Messi, huyu ni God-given talented fella, Hana NIDHAMU ya vyakula( mfano PSG ilibidi imsitishe kunywa Pepsi mara nyingi Ili kumaintain fitness ila akiwa Barca na Argentina anakunywa mpaka na pombe), mazoezi anafanya ila Hana mambo ya Ronaldo ya kutumia mpaka oxygen kuuponya mwili wake na minor injuries au kuuponyesha mwili haraka, ila show anayoonyesha uwanjani ni zaidi ya Cristiano, akiwa na miaka 36 anadribble Hadi watu 4(game ya juzi dhidi ya Australia) wakati katika umri huohuo , the mighty Ronaldo hakuwa na dribble hata past two players.
Nihitimishe kama Peter Druly alivosema " Messi looks like a boy next door but plays like a god while Cristiano is a best athletic player with marvelous records.".
Kwahiyo media za ulaya zinamponda Ronaldo na kumpa credit Messi,??Messi ana uwezo ila Cristiano ana uwezo zaidi ni basi tu media za ulaya ILA MIMI KWANGU RONALDO NI BEST NDIO MAANA FOOTSTEPS WAKE MBAPPE ALIMUONYA MESSI AKAMWAMBIA MIMI NDIO CRISTIANO MPYA STYLING OF PLAY NAMAANISHA