Christiano Ronaldo: Star wa dunia

Christiano Ronaldo: Star wa dunia

Stratopause

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2023
Posts
751
Reaction score
1,461
Cristiano Ronaldo a boy from Madeira ureno Hadi kuwa superstar wa DUNIA kwenye mtandao unaotumiwa na watu wengi duniani Instagram, kuhama kwake ulaya kwenda uarabuni kumeleta mabadiliko kadhaa kama wachezaji wengi maarufu wa ulaya kuhamia uarabuni it was marketing strategies najamaa kweli wame win kumuweka CRISTIANO KAMA AMBASSADOR ku-inspire saudi iwe host wa World Cup after his retirement from football.

CRISTIANO NA MESSI WOTE WANA VIPAJI SIO KAMA WAINGEREZA ILA CRISTIANO HE IS MORE FOCUSED (ANA JUHUDI) KWA SABABU ANAJUA NINI ANACHOTAKA KWENYE MAISHA MJADALA UISHIE HAPA NASINDIKIZA NA PICHA

FB_IMG_16875110988886721.jpg
 
Ibaki kusema wewe unamkubali Ronaldo na wengine wanamkubali Messi.kama ilivyo kwa mwanamke wewe utamwelewa sana na wengine wasimwelewe hata kidogo ukilijua hilo haliwezi kukupa shida

Sent using Jamii Forums mobile app
Messi ana uwezo ila Cristiano ana uwezo zaidi ni basi tu media za ulaya ILA MIMI KWANGU RONALDO NI BEST NDIO MAANA FOOTSTEPS WAKE MBAPPE ALIMUONYA MESSI AKAMWAMBIA MIMI NDIO CRISTIANO MPYA STYLING OF PLAY NAMAANISHA
 
Katika wachezaji wa mpira wa Miguu wanaoishi mpaka sasa hivi hakuna mwenye mafanikio ya mpira kuliko Messi na itachukua muda wa miaka kadhaa kumpata wa kumfikia Messi.Angalia vikombe na awards alizoshinda linganisha na mchezaji yoyote duniani kwa sasa.
 
Cristiano Ronaldo ni complete striker, ana uwezo wa kufunga kwa miguu yote, na kichwa pia, ana good athletic body na juhudi zake katika kufanya mazoezi na NIDHAMU ya vyakula vinamfanya aonyeshe kitu uwanjani.
Tukija Kwa Lionel Messi, huyu ni God-given talented fella, Hana NIDHAMU ya vyakula( mfano PSG ilibidi imsitishe kunywa Pepsi mara nyingi Ili kumaintain fitness ila akiwa Barca na Argentina anakunywa mpaka na pombe), mazoezi anafanya ila Hana mambo ya Ronaldo ya kutumia mpaka oxygen kuuponya mwili wake na minor injuries au kuuponyesha mwili haraka, ila show anayoonyesha uwanjani ni zaidi ya Cristiano, akiwa na miaka 36 anadribble Hadi watu 4(game ya juzi dhidi ya Australia) wakati katika umri huohuo , the mighty Ronaldo hakuwa na dribble hata past two players.

Nihitimishe kama Peter Druly alivosema " Messi looks like a boy next door but plays like a god while Cristiano is a best athletic player with marvelous records.".
 
Ni mtazamo wako
 
Mashabiki wa Ronaldo mnachrkesha sana.

Yani mnaamisha magoli tu ili kuonyesha Ronaldo ni bora kuliko Messi.

Kama wewe hapa umehamia kwenye kula na kunywa kama kigezo cha kuonyesha ubora wa Ronaldo dhidi ya messi!

Soon mtaamia kwenye kigezo cha uwezo wa kutongoza na ku date na wanawake wazuri kama kigezo.
 
Messi ana uwezo ila Cristiano ana uwezo zaidi ni basi tu media za ulaya ILA MIMI KWANGU RONALDO NI BEST NDIO MAANA FOOTSTEPS WAKE MBAPPE ALIMUONYA MESSI AKAMWAMBIA MIMI NDIO CRISTIANO MPYA STYLING OF PLAY NAMAANISHA
Kwahiyo media za ulaya zinamponda Ronaldo na kumpa credit Messi,??
Na wewe Ronaldo ujuzi wake umeujua kupitia media za Africa, America na Asia au sio??
 
Back
Top Bottom