Christiano Ronaldo: Star wa dunia

We ndo hujaelewa kitu nilichoandika umekurupuka.
Messi hafanyi anachofanya Cristiano ila anafanya mambo makubwa ndo maana nikasema Messi hana NIDHAMU ya vyakula ila Ronaldo anayo NIDHAMU ya vyakula.
Ndo maana hata Peter Druly anasema Ronaldo anacheza kama mchezaji wa kiwango cha juu ila Messi anacheza kama "mungu" (like a god).
 
Ila mashabiki wa Huyo anayependa kulia lia mna shida kichwani..

Huyo mtu kila anapoenda lazima anyee kambi hao waarabu soon atawanyea.
 

Hii picha uliyoweka hapa ndo mastaa? Hawa ndo ma staa wa mpira duniani sasa hivi ? [emoji848][emoji848][emoji848].

Hakuna staa aliye kwenye peak anaweza enda saudi, hakuna
 
Messi ana uwezo ila Cristiano ana uwezo zaidi ni basi tu media za ulaya ILA MIMI KWANGU RONALDO NI BEST NDIO MAANA FOOTSTEPS WAKE MBAPPE ALIMUONYA MESSI AKAMWAMBIA MIMI NDIO CRISTIANO MPYA STYLING OF PLAY NAMAANISHA
Yaani wewe ni huelewi Christiano umesema footsteps wake yupo ambaye ni Mbappe , huyu Messi dunia inahangaika kupata Footsteps wake hajapatikana huoni kama upatikanaji umezingatia kanuni ya from simple to complex.
 
Una uhakika kwamba haujui kuandika habari yote uliyoikusudia kwa kiswahili kilichonyooka?Ni vema ukaandika kama unaandika.Siyo kama unaongea kijiweni.Tofautisha hilo.
 

Halland yupo kwenye mission, jamaa anaelekewa kuwaumbua hawa kina Messi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…