We ndo hujaelewa kitu nilichoandika umekurupuka.Mashabiki wa Ronaldo mnachrkesha sana.
Yani mnaamisha magoli tu ili kuonyesha Ronaldo ni bora kuliko Messi.
Kama wewe hapa umehamia kwenye kula na kunywa kama kigezo cha kuonyesha ubora wa Ronaldo dhidi ya messi!
Soon mtaamia kwenye kigezo cha uwezo wa kutongoza na ku date na wanawake wazuri kama kigezo.
Messi hafanyi anachofanya Cristiano ila anafanya mambo makubwa ndo maana nikasema Messi hana NIDHAMU ya vyakula ila Ronaldo anayo NIDHAMU ya vyakula.
Ndo maana hata Peter Druly anasema Ronaldo anacheza kama mchezaji wa kiwango cha juu ila Messi anacheza kama "mungu" (like a god).