Lengo la ujio wa ukristo ilikua ni ukoloni full stop. Ni kweli kukikua na suppression of Islam after the arrival of Europeans lakini haikua shabaha kuu. Maana ukisema hivo vipi kuhusu "kakure kirishitan" kule Japan nako walikua wanafukuza waislam????
survival of the fittest 🐒pamoja na upotoshaji mwingi unaofanywa na communists na muslims khs sababu za ujio wa Christians barani Afrika, lkn sababu KUU ilikuwa ni ku-push back on islam conquest of the continent.
ikumbukwe kwamba there's no way afrika ingebakia neutral hivyo ilikuwa ni aidha iende islamic yote kuanzia rasi ya tumaini jema (cape good hope) south afrika mpaka cairo au Christians waingilie kuzuia.
muslims conquest of north afrika mpaka west afrika tayari ilivamiwa na majeshi ya islam na kugeuzwa islamic, hakuna ambacho kingezuia majeshi ya islam kuchukua bara lote kama Christians wasingekuja na push back on islam ...
View attachment 3624125
We kijana nitajie hizo investment zilizofanywa sana! Unataka kusema makanisa, shule na vituo vya afya. Unajua zilijengwa kwa sababu gani na zilihudumu kivipi?umedanganywa na communists, kwanza Christians wali-invest zaidi afrika klk walivyonufaika, why is that? wengi hamuelewi na mnafichwa khs historia ya islam, hivi unafahama kwamba muslims walivamia europe na ilikuwa kidogo europe yote ianguke kama siyo polish soldiers walio-fight na kurudisha nyuma muslims? na ndiyo maana balkan countries leo hii ni islsmic kama albania au kosovo lkn muslims walishafika mpaka central europe na wakarudishwa nyuma na askari wa poland ...
Whats ur point?pamoja na upotoshaji mwingi unaofanywa na communists na muslims khs sababu za ujio wa Christians barani Afrika, lkn sababu KUU ilikuwa ni ku-push back on islam conquest of the continent.