Christina Shusho ashauri umri wa mtu mzima usianzia miaka 18

Christina Shusho ashauri umri wa mtu mzima usianzia miaka 18

Nehi95

Member
Joined
Jun 11, 2024
Posts
61
Reaction score
128
Nimekutana na hii Mahali mke wa mchungaji shusho anataka kupindisha sheria ya mtu mzima isiwe kwanzia miaka 18. Adai aliolewa akiwa mtoto na mume hana mchango kwenye mafanikio yake.

Jamani na kama maamuzi kwanini asiyafanye wkt ule Yuko Binti maana Kwa sasa sijui anautoto upi


58421463fcd4e7d9463e4f881aa7acab(0).png
 
Nimekutana na hii Mahali mke wa mchungaji shusho anataka kupindisha sheria ya mtu mzima isiwe kwanzia miaka 18...adai aliolewa akiwa mtoto na mume Hana mchango kwenye mafanikio yake
Jamani na kama maamuzi kwanini asiyafanye wkt ule Yuko Binti maana Kwa sasa sij
 
Back
Top Bottom