Zanzibar-ASP
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 11,550
- 40,697
Inaelezwa Christina ni malaya wa muda mrefu huenda hata kabla ya ndoa yake kufa, yule Pastor Shusho alimstiri mnooo huyo madam.
Christina ana mambo mengi mnoo machafu nyuma ya pazia (tunaomjua tunastiri ili kulinda utu wake, familia yake na imani aliyokuwa anahubiri), hata hii kuanza kufunguka ameifanya kimakusudi ili 'ngoma ivumee' kiasi cha kutaka kupasuka na kila kitu kilichopangwa kiwekwe wazi.
Watu wengi wasiofahamu ni kuwa, toka kitambo kidogo Gospel music ilishamtupa nje Christina Shusho (amekuwa akisurvive na trend ya nyimbo zake za zamani, zile za zaidi ya miaka kumi iliyopita), ngoma zake mpya na album zake mpya, zote zimefeli (kidogo Kenya vimehit) regardless ya gharama kubwa na promo kubwa aliyotumia kuzipa milleage.
Kwa kuwa Christina alishalewa umaarufu na kuonja utamu wa pesa, hakuna namna atataka kutoka kwenye hiyo reli unless miujiza wa Mungu imuokoe!
Bahati mbaya sana Christina haoni tena njia ya kutoboa (pesa na umaarufu) kupitia Gospel, muziki umeshamgomea na uchungaji wa mchongo umemkataa, hautamani tena, mtaji aliowekeza kwenye Church yake pale Manzese unamletea loss kila siku, hakuna waumini wa kutosha na hakuna sadaka ya kumwagika!
Mpango wake kabambe wa sasa ni kutaka kuchomokea kwenye Bongo flaviour kupitia 'mziki vuguvugu', na mlango rahisi wa kutrend ni kupitia Diamond na tena uko wazi, mipango imeshakamilika, kwa sasa ni kudondosha drama kwa kwenda mbele (ili kutrend) kisha kuja kuachia ngoma yenye hits.
Mambo ni mengi lakini muda ni mchache. Kaeni mkao wa kuona mambo mengi ya kustaajabisha na huenda yakawachafua baadhi ya watu. Yote ni maisha tu.