Christmas bado siku 23

Christmas bado siku 23

The Initiator huru

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2017
Posts
1,993
Reaction score
2,635
Yewomi eeeeh, yewomi eeeeh, yewomi eeeeh Christmas cha mshikha. Wachaga tutafute hela aisee muda wa kurudi kwetu umefika, nyama choma na bia lazima viwepo.
 
Ok utaratibu mzuri wakurudi lwenye roots zako
 
Ulivyo andika ka vile umeeka mikono kichwaniii unalalamikaaa

Anyway niwatakie mahujaji maandalizi memaaa. Na hongereni kwa kuwa hadi sasa bado mnadunda mjini tofauti na ilivyotariwa.
 
Back
Top Bottom