Championship
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,500
- 10,616
Mungu hajawahi kuacha tusherehekee bila baraka ya mvua kama wale wengine wanavyokaushwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Safi, imeleta baraka tayari.kawe /msasani/mikocheni/kinondon dsm imenyesha ya dk 40 imeacha sasa hv jua kaliii
Huku mvua mbona leo hakuna mwezi wa 12 ni Masika baadhi ya maeneoMungu hajawahi kuacha tusherehekee bila baraka ya mvua kama wale wengine wanavyokaushwa.
Mvua ya siku ya Christmas huwa ni kidogo kwa ajili ya baraka tu, hainyeshi nyingi.Kwani huu si ndiyo msimu wa mvua mbona zonanyesha karibu kila siku?
Ilitakiwa Christmas iwe kipindi cha kiangazi halafu mvua inyeshe ndiyo tutasema imekuja na baraka.