Championship JF-Expert Member Joined Aug 7, 2019 Posts 5,500 Reaction score 10,616 Dec 25, 2023 #1 Mungu hajawahi kuacha tusherehekee bila baraka ya mvua kama wale wengine wanavyokaushwa.
J Jkalevela JF-Expert Member Joined Nov 14, 2023 Posts 856 Reaction score 1,381 Dec 25, 2023 #2 Arusha mjini,sekei,manyunyu yamepiga kiasi
fundi bishoo JF-Expert Member Joined Jun 26, 2018 Posts 14,264 Reaction score 27,132 Dec 25, 2023 #3 kawe /msasani/mikocheni/kinondon dsm imenyesha ya dk 40 imeacha sasa hv jua kaliii
Championship JF-Expert Member Joined Aug 7, 2019 Posts 5,500 Reaction score 10,616 Dec 25, 2023 Thread starter #4 fundi bishoo said: kawe /msasani/mikocheni/kinondon dsm imenyesha ya dk 40 imeacha sasa hv jua kaliii Click to expand... Safi, imeleta baraka tayari.
fundi bishoo said: kawe /msasani/mikocheni/kinondon dsm imenyesha ya dk 40 imeacha sasa hv jua kaliii Click to expand... Safi, imeleta baraka tayari.
Yimakatso JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 7,060 Reaction score 9,468 Dec 25, 2023 #5 Kwani huu si ndiyo msimu wa mvua mbona zonanyesha karibu kila siku? Ilitakiwa Christmas iwe kipindi cha kiangazi halafu mvua inyeshe ndiyo tutasema imekuja na baraka.
Kwani huu si ndiyo msimu wa mvua mbona zonanyesha karibu kila siku? Ilitakiwa Christmas iwe kipindi cha kiangazi halafu mvua inyeshe ndiyo tutasema imekuja na baraka.
25000q JF-Expert Member Joined Dec 27, 2022 Posts 4,805 Reaction score 3,762 Dec 25, 2023 #6 Championship said: Mungu hajawahi kuacha tusherehekee bila baraka ya mvua kama wale wengine wanavyokaushwa. Click to expand... Huku mvua mbona leo hakuna mwezi wa 12 ni Masika baadhi ya maeneo
Championship said: Mungu hajawahi kuacha tusherehekee bila baraka ya mvua kama wale wengine wanavyokaushwa. Click to expand... Huku mvua mbona leo hakuna mwezi wa 12 ni Masika baadhi ya maeneo
Championship JF-Expert Member Joined Aug 7, 2019 Posts 5,500 Reaction score 10,616 Dec 25, 2023 Thread starter #7 cmp said: Kwani huu si ndiyo msimu wa mvua mbona zonanyesha karibu kila siku? Ilitakiwa Christmas iwe kipindi cha kiangazi halafu mvua inyeshe ndiyo tutasema imekuja na baraka. Click to expand... Mvua ya siku ya Christmas huwa ni kidogo kwa ajili ya baraka tu, hainyeshi nyingi.
cmp said: Kwani huu si ndiyo msimu wa mvua mbona zonanyesha karibu kila siku? Ilitakiwa Christmas iwe kipindi cha kiangazi halafu mvua inyeshe ndiyo tutasema imekuja na baraka. Click to expand... Mvua ya siku ya Christmas huwa ni kidogo kwa ajili ya baraka tu, hainyeshi nyingi.
Azarel JF-Expert Member Joined Aug 25, 2016 Posts 28,916 Reaction score 40,479 Dec 25, 2023 #8 Tangu nikiwa mdg wakati wa Krismas ni lazima mvua inyeshe tena sio kubwa...kidg tu ya baraka