Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 376,316
- 871,876
Google map location inaonesha ukanda wa Gaza wa Tanganyika (Tanganyika Gaza strip) Unaanzia Kimara Baruti mpakani ni Mbezi Kibanda cha mkaa
Majimbo yake randomly
Kimara Suka
Bucha
Temboni
Kwamsuguri
Darajani
Changamoto za kudumu
Miundombinu
Maji
Umeme
Usafiri
Hali ya kijiografia
Ukame
Milima
Mabonde
Kona kali
Mengineyo
Vitu used vya bei poa Sana
Chimbo la wahudumu wa bar na wafanyakazi wa ndani
Vyumba vya kupanga vya bei poa
Nk
Umaarufu
Kitovu cha maandamano ya Mo29
Ongeza niliyosahau
Majimbo yake randomly
Kimara Suka
Bucha
Temboni
Kwamsuguri
Darajani
Changamoto za kudumu
Miundombinu
Maji
Umeme
Usafiri
Hali ya kijiografia
Ukame
Milima
Mabonde
Kona kali
Mengineyo
Vitu used vya bei poa Sana
Chimbo la wahudumu wa bar na wafanyakazi wa ndani
Vyumba vya kupanga vya bei poa
Nk
Umaarufu
Kitovu cha maandamano ya Mo29
Ongeza niliyosahau