Ingia chini ya uvungu wa kitanda ukae utulie.Ambao hatujawahi kufika Dar tuna coment wapi mkuu?
Hatari kabisa ngoja nikajipatie mmoja.Kupitia madalali unalipa nauli ya kumtoa mkoani kumbe yuko kinondoni anahamishiwa tu kwako
Nipo Umurushoto Kagera TanzaniaLocation ulipo mkuu wangu
Sina kitanda nina godoro tu mzee wangu Sharobaro.Ingia chini ya uvungu wa kitanda ukae utulie.