Tehe, kwa nini? Yeye nasikia ndo mtaaalmu wa kuchoma nyama.
Na ww si uka abudu ya kwenu, mvivu wa kwanza wewe!Huwa mnaenda kutambikia i.e., kumuabudu shetani a.k.a kuabudu majini a.k.a mizimu ya mababu zenu.
Asante my,..niwakaribishe Heaven Sent na atoto
Karibuni Xmas wapenzi. Kuna ng'ombe, mbege, ndisi, na bila kusahau ugali for a sukuma touch. π
Sisi fyetu fiasi, ndizi, wali na makatapelaMnyakyusa katika ubora wake.
Leo hamtaki ugali!! Hiyo miili iliyojazia na kukomaa imetoka wapi?
Tena saaana ndio maana wana maendeleo hivyo! Jinga kabisa!wachaga washamba sana
Haha ki model wa muda tu, mnyaki shurti ujazie jazieHeaven S. mnyaki mzungu, ki model. Si unaona anavyopingana na vyakula vya kunenepesha kama ugali.
tukutane kwa ModeNitakuwa hapo Sembeti mkuu..
Mtura kwa wale waje kutaka kujenga afya zao wakati ndio huu
Upo wa mkulima unaupata?Ul
Ule mtura pale police mess jamani... Acha tu
Mauwa sehemu gani ma?Mauwa
Upo wa mkulima unaupata?
poa mkuu ushawasili nnMambo vp
wa kunywa mmbira anakunywa taratiiibIbada ya usiku ya Xmas naenda hapo Usharika wa Ngaruma na misa ya Kichagga ya Saa moja lazima niudhurie pia..
Inaleta raha pale mnatoka ibada ya mkesha mkirudi home mnakuta mbege imeshachanganywa inapumua tartiiib...
Mimi siku zooote nilijua jamaa ni Mjaluo.Kumbe mchaga wewe!!! Id yako tofauti kabisa.
Hahahaha...hii hakunaga banaTangu niwepo moshi hii ni mara ya kwanza watu wa huku hawajakuja kabisaa! siyo kawaida tarehe hzi ukose foleni kiaina maeneo anzia YMCA...nakuendelea! safari hii kweli mmebanwaa!....ila mmesaidia sana maana huwa mnakuja na karibu kila kitu cha kuazima hasa magari!
1.mnanakunywa pombe sana
2.ajali haziishi
3.magari yanaibiwa sana tu
4.wake za watu wanaliwa mno
5.mkiondoka mnaacha madeni mengi mno
Sasa ni wakati wa KULA SIKUKUU BILA umati lukuki wa watu!
January Ada,madeni hatutaki!...KARIBUNI KILIMANJARO,KARIBUNI MTAKUJA Kwaajili ya "mnyama"
Karibuni Rau pub kwa mbuzi
Karibuni Mkulima kwa ng'ombe
Karibuni darslaam street kwa mbege!
Karibuni Keys hotel kwa kuku kienyeji
Karibuni Black dimond kwa burudani bila kusahau Malindi kwa vinywaji bariiidii kupoza koo na kupunguza stress! babies aina zoote!....