Christmas holiday updates -Moshi, Kilimanjaro

Christmas holiday updates -Moshi, Kilimanjaro

Tehe, kwa nini? Yeye nasikia ndo mtaaalmu wa kuchoma nyama.

Pombe na nyama not my thing kabisaaaaaa!!!
So huo ukaribisho hata sitoufurahia, nikaribishe usukumani bwana tukale vyakula vyenye afya.
 
  • Thanks
Reactions: kui
Somewhere in Rombo,

Hawa ni wenyeji wanawasubiri wageni,
Usiwakimbie gharama yao ni ndogo
1482264608617.jpg
 
😀😀😀😀😀 nacheka kwa namna ambavyo mtu anaye kuja kinyume na hii thread anakula za uso 😀😀😀. Yaani hapa mtu anapata za uso na harudi tena. Duh! Nimecheka kweli.
 
Tangu niwepo moshi hii ni mara ya kwanza watu wa huku hawajakuja kabisaa! siyo kawaida tarehe hzi ukose foleni kiaina maeneo anzia YMCA...nakuendelea! safari hii kweli mmebanwaa!....ila mmesaidia sana maana huwa mnakuja na karibu kila kitu cha kuazima hasa magari!

1.mnanakunywa pombe sana
2.ajali haziishi
3.magari yanaibiwa sana tu
4.wake za watu wanaliwa mno
5.mkiondoka mnaacha madeni mengi mno
Sasa ni wakati wa KULA SIKUKUU BILA umati lukuki wa watu!
January Ada,madeni hatutaki!...KARIBUNI KILIMANJARO,KARIBUNI MTAKUJA Kwaajili ya "mnyama"
Karibuni Rau pub kwa mbuzi
Karibuni Mkulima kwa ng'ombe
Karibuni darslaam street kwa mbege!
Karibuni Keys hotel kwa kuku kienyeji
Karibuni Black dimond kwa burudani bila kusahau Malindi kwa vinywaji bariiidii kupoza koo na kupunguza stress! babies aina zoote!....
 
Hahahaha...hii hakunaga bana
 
Back
Top Bottom